Katika Harakati Za Serikali Kumuinua Mkulima Nchini Na Kufanya Kilimo Kuwa Uti Wa Mgongo, Mpango Wa Kurasimisha Rasilimali Na Biashara Za Wanyonge Tanzania (Mkurabita) Umewajengea Uwezo Wananchi Wa Wilaya Ya Chamwino Jijini Dodoma Jinsi Ya Matumizi Bora Ya Ardhi Ili Kujikwamua Zaidi Kiuchumi. Ambapo wakulima 100 wa kijiji cha Mahama, …
Soma zaidi »MKURABITA YATAJWA KUCHOCHEA MAENDELEO ENDELEVU
Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) umetajwa kuchochea ustawi wa wananchi na kuendana na azma ya Serikali ya Awamu ya Tano kuwakwamua wananchi kiuchumi baada ya kurasimisha mashamba yao ili kufikia maendeleo endelevu. Akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa wakulima zaidi ya 100 wa Kijiji cha Mahama …
Soma zaidi »UJENZI MJI WA SERIKALI MBIONI KUKAMILIKA
UJENZI WA MAGHALA NA VIHENGA VYA KISASA UNAVYENDELEA DODOMA
WAGONJWA 12 WAFANYIWA UCHUNGUZI WA MISHIPA YA MOYO KUPITIA MTAMBO WA CATHLAB
Jumla ya wagonjwa 12 wamefanyiwa uchunguzi wa kuangalia jinsi mishipa ya damu ya moyo inavyofanya kazi kupitia mtambo wa Cathlab ambao ni maabara ya uchunguzi na tiba ya mishipa ya damu ya moyo. Uchunguzi huo ambao umefanyika kwa siku mbili umefanywa na madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi …
Soma zaidi »MADAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA MOYO WA JKCI NA BENJAMINI (BMH) WAANZA UCHUNGUZI WA MISHIPA YA DAMU YA MOYO
MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA PAMOJA YA SMT NA SMZ KUJADILI MASUALA YA MUUNGANO
Video Makamu wa Rais akifungua Mkutano.
Soma zaidi »