WAKULIMA 100 WAPATIWA HATI MILIKI ZA KIMILA KWA GHARAMA YA Tsh. 2,700

  • Katika Harakati Za Serikali Kumuinua Mkulima Nchini Na Kufanya Kilimo Kuwa Uti Wa Mgongo, Mpango Wa Kurasimisha Rasilimali Na Biashara Za Wanyonge Tanzania (Mkurabita) Umewajengea Uwezo Wananchi Wa Wilaya Ya Chamwino Jijini Dodoma Jinsi Ya Matumizi Bora Ya Ardhi Ili Kujikwamua Zaidi Kiuchumi.
  • Ambapo wakulima 100 wa kijiji cha Mahama, Halimashauri ya Chamwino mkoani Dodoma wamepatiwa mafunzo ya kujengea uwezo na namna ya kutunza fedha kupitia kwa wataalamu wa Bank ya NMB.
  • Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji Halimashauri ya Chamwino Athumani Masasi na kuongeza kuwa wametoa mafunzo hayo kwa lengo la kuwajengea uwezo wakulima hao wakuanzisha shamba darasa kwa wengine.
  • aidha amesema kuwa pamoja na mafunzo hayo wakulima hao wamepatia hati miliki za kimila katika mpango wa Serikali wa kurasimisha biashara na rasilimali kwa wananchi ili kuwasaidia kuapat mikopo katika taasisi za kifedha kwa lengo kujikwamua katika uchumi kwa kendeleza biashara zao.
  • amesema kuwa kwa sasa gharama ya kupata hati miliki imeshuka kutoka elfu 20,000 hadi kufikia elfu 2,700 ambapo wakulima hao wamepatiwa hati miliki za kimila.
Ad

Unaweza kuangalia pia

SPIKA WA BUNGE AZINDUA JENGO LA MAHAKAMA WILAYA YA KONDOA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) leo azindua …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *