DKT. ABBASI: NCHI 16 ZIMETHIBITISHA KUSHIRIKI MKUTANO MKUU SADC TANZANIA 2019
Nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) zimethibitisha kushiri Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya hiyo utakaofanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania Agost 17 na 18 mwaka huu. Akizungumza katika Kipindi cha 360 cha Clouds Tv, Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji …
Soma zaidi »SADC KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA USAFIRISHAJI
Sekretarieti ya Miundombinu ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC) inajikita katika kuimarisha na kuboresha miundombinu ya usafirishaji kwa kufanya ukarabari na kuhuisha sekta hiyo hususani sekta ya Bandari, Reli na Anga. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Wa Sekritarieti …
Soma zaidi »PROF KABUDI: TUENDELEE KUSHIKAMANA KUJENGA JUMUIYA IMARA KWA MASLAHI YA WANANCHI WETU
Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, Prof. Palamagamba Kabudi amezitaka Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuendelea kushikamana katika Umoja na Mshikamano baina yao ili kujenga Uchumi imara na kuleta Maendeleo ya wananchi wake. Akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa nafasi …
Soma zaidi »PROFESA KABUDI AKAGUA PIKIPIKI ZA KUONGOZEA MISAFARA YA VIONGOIZI WAKUU WA NCHI ZA SADC MKUTANONI
DOMINGOS:TUTAENDELEA KUBORESHA, KUIMARISHA NA KUHAMASISHA BIASHARA ZA MAZAO YA KILIMO SADC.
Sekratarieti ya Chakula, Kilimo na Malisili kutoka Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC) imesema kuwa itaendelea kufanya kazi karibu na wananchi walioko kwenye ukanda wa Jumuiya hiyo ili kuimarisha utekelezaji wa Sera ya Maendeleo ya 2015-2020 SADC hasa kwenye Sekta ya Biashara kwa …
Soma zaidi »DKT. ABBASI ATEMBELEA MABANDA YA MAONESHO WIKI YA VIWANDA-SADC
MHANDISI KAKOKO: NCHI ZA SADC ZIIMARISHE NGUVU YA PAMOJA YA MIUNDOMBINU KUKUZA VIWANDA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko amezitaka Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuunganisha nguvu ya pamoja katika kuimarisha miundombinu ya Reli, Barabara, Bandari pamoja na Mawasiliano ili kukuza sekta ya viwanda katika Mataifa hayo. Aliyasema hayo leo Jumanne (Agosti …
Soma zaidi »UJENZI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM WAENDELEA VYEMA
Maendeleo ya ujenzi wa Bandari ya Dar es Salaam yanakwenda vizuri ambapo ujenzi wa magati 2 kati ya 7 yaliyopo umekamilika na kuanza kupokea meli kubwa za mizigo. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mhandisi Deusdedit Kakoko amesema mradi wa ujenzi wa magati hayo utakaogharimu takribani …
Soma zaidi »TANZANIA KUENDELEA KUNUFAIKA KIUCHUMI NA SADC
Katibu Mkuu Mstaafu Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Mussa Uledi amesema kuwa Tanzania inanufaika kiuchumi kama mwanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) pamoja na jumuiya nyingine ambazo Tanzania ni mwanachama. Akizungumza wakati akiwasilisha mada leo mjini Morogoro ikiwa ni siku ya pili ya mafunzo kwa waandishi wa …
Soma zaidi »