DKT. ABBASI ATEMBELEA MABANDA YA MAONESHO WIKI YA VIWANDA-SADC Matokeo ChanyA+ August 8, 2019 Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania MpyA+ Acha maoni 547 Imeonekana Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt.Hassan Abbasi, akifafanua Jambo mbele ya wafanyakazi wa Kampuni ya Tanzanitie Founder Foundation, kuhusu kuyatangaza madini ya Tanzanite alipotembelea kwenye Banda hilo katika Maonesho ya Wiki ya Viwanda kutoka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya SADC, yanayoendelea katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Viwanja wa Karimjee na Gymkana Jijini Dar es Salaam. Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt.Hassan Abbasi, akipokea kitabu kinachohusu utafiti na Uchenjuaji Madini kutoka kwa Mhandisi Mchenjuaji Madini Mwandamizi, Priscus Kaspana alipotembelea Banda la Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini –Tanzania katika maonesho ya Wiki ya Viwanda kutoka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya SADC yanayoendelea katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Viwanja wa Karimjee na Gymkana Jijini Dar es Salaam. Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest