TANZANIA KUENDELEA KUNUFAIKA KIUCHUMI NA SADC

  • Katibu Mkuu Mstaafu Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Mussa Uledi amesema kuwa Tanzania inanufaika kiuchumi  kama mwanachama wa Jumuiya ya Maendeleo  Kusini mwa Afrika (SADC) pamoja na jumuiya nyingine ambazo Tanzania ni mwanachama.
  • Akizungumza wakati akiwasilisha mada leo mjini Morogoro ikiwa ni siku ya pili ya mafunzo  kwa waandishi  wa habari ya kuwajengea uwezo wa kuandika na  kuripoti   habari za SADC, Bw. Uledi amesema kuwa  nchi yetu imenufaika na utekelezaji wa miradi ya miundomnbinu,  biashara, uwekezaji  na viwanda.
SC 1-01
Katibu Mkuu mstaafu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Mussa Uledi akiwasilisha mada wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa weledi katika kuandika na kuripoti habari zinazohusu Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) yanayoendelea mjini Morogoro leo Julai 9, 2019 ikiwa ni siku ya pili ya mafunzo hayo yaliyofunguliwa Julai 8, 2019 na Naibu Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza
  • “Mkakati wa maendeleo wa SADC unafafanana kwa kiwango kikubwa na ule wa Tanzania ambao pia unazingatia haja ya utekelezaji wa viwanda na miundombinu hapa nchini hali itakayochangia katika kuimarisha maendeleo na kukuza uchuni na ustawi wa wananchi” Alisisitiza Bw. Uledi
  • Akifafanua amesema kuwa vipaumbele vya Tanzania vimejikita katika upanuzi wa Mauzo nje na uongezaji wa michepuo yake lengo likiwa ni kukuza na kuendeleza biashara hali inayowezesha uendelezaji wa viwanda vya kuongeza thamani katika malighafi za ndani hususan mazao ya kilimo na madini.
SC 3-01
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari- MAELEZO Bi Zamaradi Kawawa akisisitiza jambo wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa weledi katika kuandika na kuripoti habari zinazohusu Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) yanayoendelea mjini Morogoro leo Julai 9, 2019 ikiwa ni siku ya pili ya mafunzo hayo yaliyofunguliwa Julai 8, 2019 na Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza.
  • Aliongeza kuwa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli  katika baadhi ya nchi wanachama wa SADC imeonesha kuwa Tanzania imejipanga vizuri kimkakati inaweza kuwa ghala la Chakula kwa kukuza zaidi uzalishaji kuendana na mahitaji katika soko la jumuiya hiyo na hata nje ya jumuiya.
  •  Alitaja vipaumbele vingine kuwa ni pamoja na  uendelezaji miundombinu kama barabara, reli, usafiri wa anga, uzalishaji na usambazaji huduma za umeme ambayo ni nyenzo muhimu sana katika kuyaunganisha masoko ya nchi wanachama wa SADC.
SC 4-01
Mmoja wa washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa weledi katika kuandika na kuripoti habari zinazohusu Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) yanayoendelea mjini Morogoro leo Julai 9, 2019 ikiwa ni siku ya pili ya mafunzo hayo Bi Nelly Mtema akisisitiza jambo wakati wa mafunzo hayo yaliyofunguliwa Julai 8, 2019 na Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza..
  • Aliongeza kuwa vipaumbele vingine ni utafutaji wa rasilimali na utekelezaji wa miradi ya Kikanda kwa kuundwa kwa kikosi kazi cha Mawaziri wenye dhamana ya Fedha na uendelezaji miundombinu, Amani na Usalama umeendelea kuimarika ndani ya SADC.
  • Tanzania inatarajiwa kuleta msukumo mpya kwa nchi wanachama wa SADC katika utekelezaji wa miradi na program za maendeleo za Jumuiya hiyo kwa kuwa itakuwa na dhamana kubwa ya kukidhi matarajio makubwa ya nchi wanachama wakati wote wa uenyekiti wake.
SC 5-01
Mkuu wa Operesheni na Mafunzo, Brigedi ya Magharibi, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kanali Wilbert A. Ibuge akiwasilisha mada wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa weledi katika kuandika na kuripoti habari zinazohusu Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) yanayoendelea mjini Morogoro leo Julai 9, 2019 ikiwa ni siku ya pili ya mafunzo hayo yaliyofunguliwa Julai 8, 2019 na Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza.
  • Kwa upande wake Mkuu wa Operesheni na Mafunzo, Brigedi ya Magharibi ya Jeshi  la Ulinzi la  Wananchi wa Tanzania (JWTZ)  Kanali Wilbert  Ibuge akiwasilisha mada katika mafunzo hayo amesema kuwa  Tanzania ni miongoni mwa nchi za mwanzo kabisa Barani Afrika zilizotoa mchango mkubwa na kuratibu kuanzishwa kwa mtangamano wa  SADC.
  • “Hadi sasa hali ya amani na usalama imeendelea kuimarika katika SADC kama inavyojidhihirisha kwa takribani nchi zote za SADC  ambapo nchi wanachama ziliazimia kusimamia maendeleo ya kiuchumi ya Kanda kwa kuzingatia malengo ikiwemo kukuza uchumi, kuondoa umasikini, kuboresha hali ya maisha ya wananchi.
  • Msingi wa SADC ni kusimamia malengo yake ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii sambamba na yale ya ulinzi na usalama unabainishwa katika Ibara ya 2 ya mkataba wa SADC ( Article 2 of SADC Treaty). Na Frank  Mvungi- MAELEZO- Morogoro
Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS MAGUFULI AMTEUA BALOZI WILBERT IBUGE KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Balozi (Kanali) …

82 Maoni

  1. Kim Kardashian’s https://the-kardashians.kim-kardashian-fr.com incredible success story, from sex scandal to pop culture icon and billion-dollar fortune.

  2. Parisian PSG https://paris.psg-fr.com is one of the most successful and ambitious football clubs in Europe. Find out how he became a global football superstar.

  3. Travel to the pinnacle of French football https://stadede-bordeaux.bordeaux-fr.org at the Stade de Bordeaux, where the passion of the game meets the grandeur of architecture.

  4. An exploration of Nicole Kidman’s https://watch.nicole-kidman-fr.com career, her notable roles, and her continued quest for excellence as an actress.

  5. An exploration of the history of Turin’s https://turin.juventus-fr.org iconic football club – Juventus – its rivalries, success and influence on Italian football.

  6. The new Premier League https://premier-league.chelsea-fr.com season has gotten off to an intriguing start, with a new-look Chelsea looking to return to the Champions League, but serious challenges lie ahead.

  7. Rivaldo, or Rivaldo https://barcelona.rivaldo-br.com, is one of the greatest football players to ever play for Barcelona.

  8. The fascinating story of the phenomenal rise and meteoric fall of Diego Maradona https://napoli.diegomaradona.biz, who became a cult figure at Napoli in the 1980s.

  9. A fascinating story about Brazilian veteran Thiago Silva’s https://chelsea.thiago-silva.net difficult path to the top of European football as part of Chelsea London.

  10. The story of Luka Modric’s rise https://real-madrid.lukamodric-br.com from young talent to one of the greatest midfielders of his generation and a key player for the Royals.

  11. Follow Bernardo Silva’s impressive career https://manchester-city.bernardosilva.net from his debut at Monaco to to his status as a key player and leader of Manchester City.

  12. Пансионаты для пожилых людей https://moyomesto.ru в Самаре по доступным ценам. Специальные условия по уходу, индивидуальные программы.

  13. The fascinating story of Sergio Ramos’ https://seville.sergioramos.net rise from Sevilla graduate to one of Real Madrid and Spain’s greatest defenders.

  14. In-depth articles about the most famous football players https://zenit-saint-petersburg.wendel-br.com, clubs and events. Learn everything about tactics, rules of the game and football history.

  15. A historia da jornada triunfante de Anitta https://veneno.anitta-br.com de aspirante a cantora a uma das interpretes mais influentes da musica moderna, incluindo sua participacao na serie de TV “Veneno”.

  16. Selena Gomez https://calm-down.selenagomez-br.net the story from child star to global musical influence, summarized in hit “Calm Down”, with Rema.

  17. Anderson Silva https://killer-bees-muay-thai-college.andersonsilva.net was born in 1975 in Curitiba Brazil. From a young age he showed an interest in martial arts, starting to train in karate at the age of 5.

  18. Nuno Mendes https://paris-saint-germain.nuno-mendes.com, a talented Portuguese left-back, He quickly became one of the key figures in the Paris Saint-Germain (PSG) team.

  19. Robert Lewandowski https://barcelona.robertlewandowski-ar.com is one of the most prominent footballers of our time, and his move to Barcelona has become one of the most talked about topics in world football.

  20. RDBox.de https://rdbox.de bietet schallgedammte Gehause fur 3D-Drucker, die eine sehr leise Druckumgebung schaffen – nicht lauter als ein Kuhlschrank. Unsere Losungen sorgen fur stabile Drucktemperatur, Vibrationsisolierung, Luftreinigung und mobile App-Steuerung.

  21. Kevin De Bruyne https://manchester-city.kevin-de-bruyne-ar.com is a name every football fan knows today.

  22. Muhammad Al Owais https://al-hilal.mohammed-alowais-ar.com is one of the most prominent names in modern Saudi football. His path to success in Al Hilal team became an example for many young athletes.

  23. Roberto Firmino https://al-ahli.roberto-firmino-ar.com one of the most talented and famous Brazilian footballers of our time, has paved his way to success in different leagues and teams.

  24. Khvicha Kvaratskhelia https://napoli.khvicha-kvaratskhelia-ar.com is a name that in recent years has become a symbol of Georgian football talent and ambition.

  25. Brazilian footballer Ricardo Escarson https://orlando-city.kaka-ar.com dos Santos Leite, better known as Kaka, is one of the most famous and successful players in football history.

  26. Sadio Mane https://al-nassr.sadio-mane-ar.com the Senegalese footballer best known for his performances at clubs such as Southampton and Liverpool, has become a prominent figure in Al Nassr.

  27. Travis Scott https://astroworld.travis-scott-ar.com is one of the brightest stars in the modern hip-hop industry.

  28. Zinedine Zidane https://real-madrid.zinedine-zidane-ar.com the legendary French footballer, entered the annals of football history as a player and coach.

  29. Chelsea https://england.chelsea-ar.com is one of the most successful English football clubs of our time.

  30. Muhammad Ali https://american-boxer.muhammad-ali-ar.com is perhaps one of the most famous and greatest athletes in the history of boxing.

  31. Mike Tyson https://american-boxer.mike-tyson-ar.com one of the most famous and influential boxers in history, was born on June 30, 1966 in Brooklyn, New York.

  32. In recent years, the leading positions in the Spanish https://spanish-championship.laliga-ar.com championship have been firmly occupied by two major giants – Barcelona and Real Madrid.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *