OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAANDAA KIKAO CHA WAWEKEZAJI NA WADAU WA MIFUKO MBADALA WA PLASTIKI JIJINI DAR ES SALAAM.
NAIBU WAZIRI KWANDIKWA ASISITIZA MRADI WA NYUMBA ZA KISASA MAGOMENI KOTA UKAMILIKE DESEMBA 2019
NAIBU Waziri wa Ujenzi Mhe. Elias John Kwandikwa ameagiza Wakala wa Majengo Nchini (TBA) kuhakikisha wanamaliza Mradi wa Nyumba za Kisasa wa Magomeni Kota jijini Dar es Salaam unamalizika kufikia mwezi Desemba mwaka huu. Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Kwandikwa ametoa msisitizo huo leo jijini Dar es Salaam alipofanya ziara …
Soma zaidi »LIVE: WAZIRI MKUU KATIKA KONGAMANO LA KUMBUKUMBU YA MWL.NYERERE
MHANDISI LUHEMEJA AANZA ZIARA YA KUTEMBELEA MIRADI 41 YA DAWASA
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja ameanza ziara ya wiki moja ya kutembelea miradi 41 ya mamlaka hiyo inayoendeshwa kwa fedha za ndani. Ziara hiyo itakayokuwa ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani itaangalia tathmini ya miezi sita …
Soma zaidi »LIVE: RAIS MAGUFULI ANAZINDUA MRADI WA KUSAFIRISHA UMEME MKUBWA MW 220 KUTOKA MAKAMBAKO HADI SONGEA
JAJI MSTAAFU MARK BOMANI AWATAKA WATANZANIA KUCHANGIA FURSA KATIKA SEKTA YA MADINI
Mwanasheria mkuu wa kwanza Tanzania Jaji Mstaafu Mark Bomani amewataka watanzania kuchangamkia fursa ya mabadiliko ya sheria katika sekta za maliasili na madini yaliyofanyika hivi karibuni,kutokana na sheria hizo kuweka mazingira ya usawa (win – win situation)tofauti na sheria zilizokuwepo awali kutoa kipaumbele kwa wawekezaji kutoka Nje ya nchi. Jaji …
Soma zaidi »WAKAZI WA MAJOHE NA VITONGOJI VYAKE JIJINI DAR KUPATA MAJI SAFI NA SALAMA
Wakazi zaidi ya 700,000 wa Majohe na vitongoji vyake jijini Dar es Salaam wanatarajia kupatiwa majiSafi na Salama ifikapo mwishoni mwa mwezi Aprili 2019. Serikali kuwajengea Tanki la Maji lenye uwezo wa kuhifadhi Lita 150,000 kwa siku katika Mtaa wa Kichangani. Akiweka jiwe la Msingi kwa niaba ya Mkuu wa …
Soma zaidi »UJENZI WA TERMINAL III WAFIKIA ASILIMIA 95
UJENZI WA MIUNDOMBINU YA RADA UMEFIKIA ASILIMIA 90
Ufungaji wa rada nne za kuongozea ndege za kiraia JNIA, KIA, Mwanza na Songwe: Hatua iliyofikiwa ni: JNIA: Kukamilika kwa asilimia 95 ya miundombinu ya rada. Mwanza: Ujenzi wa miundombinu ya rada unaendelea vizuri. KIA: Ujenzi wa miundombinu ya rada unaendelea na umefikia asilimia 90. Songwe: taratibu za ujenzi wa …
Soma zaidi »