- Ufungaji wa rada nne za kuongozea ndege za kiraia JNIA, KIA, Mwanza na Songwe: Hatua iliyofikiwa ni: JNIA: Kukamilika kwa asilimia 95 ya miundombinu ya rada. Mwanza: Ujenzi wa miundombinu ya rada unaendelea vizuri. KIA:
- Ujenzi wa miundombinu ya rada unaendelea na umefikia asilimia 90. Songwe: taratibu za ujenzi wa miundombinu zinaendelea. Aidha, mitambo itafungwa miundombinu itakapokamilika.
Ad