Ufungaji wa rada nne za kuongozea ndege za kiraia JNIA, KIA, Mwanza na Songwe: Hatua iliyofikiwa ni: JNIA: Kukamilika kwa asilimia 95 ya miundombinu ya rada. Mwanza: Ujenzi wa miundombinu ya rada unaendelea vizuri. KIA: Ujenzi wa miundombinu ya rada unaendelea na umefikia asilimia 90. Songwe: taratibu za ujenzi wa …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA ASKARI MAGEREZA UKONGA NA MAGOMENI KOTA
UJENZI WA GATI JIPYA (RO-RO) KWA AJILI YA MAGARI UNAENDELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM
UJENZI WA BARABARA ZA JUU UBUNGO WASHIKA KASI
PROF MBARAWA AHIMIZA JAMII KUSHIRIKI KULIENDELEZA BONDE LA MTO ZAMBEZI
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa, amefungua Mkutano wa Saba wa Mawaziri wa Maji wa nchi nane zilinazohusiana na Bonde la Mto Zambezi (Zambezi Watercourse Commission – ZAMCOM) na kuitaka jamii ya mataifa hayo kuona umuhimu wa kamisheni ya chombo hicho kuendelea kuimarika na kusimamia rasilimali za ZAMCOM …
Soma zaidi »UJENZI WA RELI YA KISASA DAR ES SALAAM – MOROGORO WAKAMILIKA KWA ASLIMIA 42
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa Serikali imedhamiria kwa dhati kukamilisha mradi mkubwa wa Reli kwa kiwango cha Kimataifa (SGR), ambapo tayari kiasi cha zaidi ya shilingi trilioni 2 kimetolewa mpaka sasa kwa ajili ya ujenzi huo. Dkt. Kijaji ametoa kauli hiyo baada ya kutembelea …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI HAFLA YA UTOAJI TUZO YA KISWAHILI
WAFANYABIASHARA WA MAFUTA KUJIUNGA KATIKA UMOJA WA KISEKTA NI HIARI SIYO LAZIMA – KALEMANI
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amesema kamwe Serikali haiwezi kumlazimisha mdau yeyote wa sekta ya mafuta nchini kujiunga na Chama, Jumuiya au Umoja wowote wa kisekta kwani hilo ni suala la hiyari kwa kila mmoja. Badala yake, Waziri Kalemani, ameushauri uongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Mafuta Tanzania (Tanzania …
Soma zaidi »MAMLAKA YA KUPAMBANA NA KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA YADHIBITI WASAFIRISHAJI DAWA ZA KULEVYA
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya Rogers Sian’ga amesema kwa sasa wamefanikiwa kidhibiti njia ambazo zilizokuwa zinatumiwa na wafanyabiashara wa dawa za kulevya kuingiza dawa hizo nchini. Amesema kwa sasa njia ambayo inatumiwa na baadhi ya wanaojihusisha na biashara haramu ya dawa hizo imebaki ya …
Soma zaidi »UJENZI WA GATI JIPYA BANDARI YA DAR ES SALAAM
Ujenzi wa Gati jipya ndani ya Bandari ya Dar es Salaam ukiendelea kupitia mradi mkubwa wa “DMGP”. Mpaka kukamilika kwake mradi huu utagharimu zaidi ya Dola Milioni 300 za Marekani. Mradi utahusisha ujenzi wa gati jipya na kuongeza kina cha maji kwenye Gati 1-7 kufikia mita 14.5
Soma zaidi »