TANZANIA YASHIKA NAFASI YA NNE KWA WATU WANAOAMINI UMILIKI WA ARDHI NA MAKAZI UKO SALAMA
Tanzania imeshika nafasi ya nne kati ya nchi tisa za Kusini na Mashariki mwa Afrika zilizofanyiwa utafiti kwa kuwa na asilimia 64 ya watu wanaoamini kuwa hali ya umiliki wa ardhi na makazi ni salama. Hayo yalibainika wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Matokeo ya Utafiti wa Msingi kuhusu Haki …
Soma zaidi »LIVE: MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA KUMI NA SABA, MASWALI NA MAJIBU KUTOKA BUNGENI
SERIKALI YAENDELEA KUTOA MSAMAHA WA KODI KWA BAADHI YA BIDHAA
Serikali imeendelea kutoa msamaha wa kodi kwa baadhi ya bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi na kutoza kodi zaidi kwenye bidhaa zinazoingia nchini ili kuhakikisha bidhaa za wazalishaji wa ndani zinalindwa. Akizungumza Bungeni leo jijini Dodoma, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Injiania Stella Manyanya alisema kuwa Serikali imeendelea kutoa msamaha wa …
Soma zaidi »SPIKA NDUGAI ASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA SAYANSI
LIVE: MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA KUMI NA SABA,MASWALI NA MAJIBU BUNGENI
UWEKEZAJI KWENYE MIRADI YA UMEME VIJIJINI UCHAGIZE UKUAJI WA UCHUMI – SIMBACHAWENE
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, George Simbachawene ametoa wito kwa Serikali kuhakikisha kuwa uwekezaji mkubwa unaofanywa katika miradi ya umeme vijijini unachagiza ukuaji wa uchumi kwa kupeleka umeme unaotosholeza mahitaji ya wananchi na kusambaza umeme katika Taasisi za Serikali na kijamii. Simbachawene ameyasema hayo jijini Dodoma, …
Soma zaidi »LIVE: KUTOKA BUNGENI, KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU
LIVE:MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA KUMI NA SABA, MASWALI NA MAJIBU
SERIKALI YAKUSANYA KODI YA SH.BILLION 5.5 ZA TAULO ZA KIKE
Sserikali imesema kuwa katika mwaka wa fedha 2016/17 hadi 2017/18 ilikusanya kodi ya ongezeko la thamani(VAT) ya kiasi cha Sh. Bilioni 5.5 kwenye bidhaa ya taulo za kike ‘Sanitary Pads’ zilizoingizwa nchini kabla ya kodi hiyo kuondolewa Juni mwaka jana. Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Naibu Waziri wa Fedha …
Soma zaidi »