Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Wanasayansi na wageni mbali mbali katika Maadhimisho ya wiki ya Wanasayansi wa Maabara za Afya yaliyofanyika leo katika Viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akimzungumza na Kaimu Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Natalie Bovely alipomtembelea nyumbani kwake Jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akiwa na Kaimu Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Natalie Bovely alipomtembelea nyumbani kwake Jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akiwa na Kaimu Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Natalie Bovely alipomtembelea nyumbani kwake Jijini Dodoma.