Maktaba Kiungo: John Pombe Joseph Magufuli

LIVE:RAIS MAGUFULI KATIKA IBADA YA KUMSIMIKA ASKOFU MTEULE GERVAS NYAISONGA KUWA ASKOFU MKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Janeth Magufuli washiriki Ibada ya Kumsimika Askofu Mteule Gervace John Nyaisonga kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya .Ibada inafanyika katika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AZINDUA JENGO LA NHIF TOWER MKOANI MBEYA

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameupongeza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa kazi kubwa inayofanya. Hayo ameyasema kwenye mkutano wa hadhara mkoani Mbeya kwenye viwanja vya Ruanda Nzove wakati akizungumza na wananchi muda mfupi baada ya kuzindua jengo la NHIF Tower …

Soma zaidi »