Rais Dkt. John Magufuli leo amefungua Barabara ya Mbeya- Lwanjilo-Chunya ya urefu wa Kilomita 72 na kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Barabara ya Chunya- Makongolosi ya urefu wa Kilomita 39.
RAIS MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA MBEYA – LWANJILO – CHUNYA
Rais Dkt. John Magufuli akipongezwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila mara baada ya kufungua Barabara ya Mbeya- Lwanjilo-Chunya ya urefu wa Kilomita 72 na kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Barabara ya Chunya- Makongolosi ya urefu wa Kilomita 39.Rais Dkt. John Magufuli akiwasili katika Viwanja vya Sabasaba Wilayani Chunya kwenye mkutano wa hadhara baada ya kufungua Barabara ya Mbeya- Lwanjilo-Chunya ya urefu wa Kilomita 72 na kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Barabara ya Chunya- Makongolosi ya urefu wa Kilomita 39.Barabara ya Mbeya- Lwanjilo-Chunya ya urefu wa Kilomita 72 Barabara ya Mbeya- Lwanjilo-Chunya ya urefu wa Kilomita 72