Maktaba Kiungo: John Pombe Joseph Magufuli

LIVE:MKUTANO WA 20 WA WAKUU WA NCHI WANACHAMA WA EAC. AICC – ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ashiriki Mkutano wa 20 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Afrika Mashariki.(The 20th Ordinary Summit of The EAC Heads of State) Katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa Arusha – AICC Februari 01,2019

Soma zaidi »

Rais Magufuli: Vijiji na vitongoji vilivyopo katika maeneo ya hifadhi visiondolewe

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza kusitishwa mara moja kwa zoezi la kuviondoa vijiji na vitongoji vinavyodaiwa kuwepo katika maeneo ya hifadhi na amewataka viongozi wa wizara zote zinazohusika kukutana ili kubainisha na kuanza mchakato wa kurasimisha maeneo ya vijiji na vitongoji hivyo. Mhe. Rais Magufuli ametoa agizo hilo Ikulu …

Soma zaidi »