RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KAIMU BALOZI WA EU NCHINI, MJUMBE MAALUMU WA RAIS WA ZIMBABWE

ZIMBA-8
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Mhe. Charles Stuart aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam
RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Mhe. Charles Stuart aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo
RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza na kuagana na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Mhe. Charles Stuart aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam
RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza na kuamuaga baada ya mazungumzo Waziri wa Ardhi, Kilimo, Maji, Mazingira na Makazi vijijini wa Zimbabwe na Mjumbe Maalumu wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Pretence Shiri Ikulu jijini Dar es salaam
ZIMBA-3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Ardhi, Kilimo, Maji, Mazingira na Makazi vijijini wa Zimbabwe na Mjumbe Maalumu wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Pretence Shiri alipokutana nan a kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Ardhi, Kilimo, Maji, Mazingira na Makazi vijijini wa Zimbabwe na Mjumbe Maalumu wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Pretence Shiri akiwa pamoja na Kaimu Balozi wa Zimbabwe nchini Mhe. Martin Tavenyika alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam
RAIS MAGUGF
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza na kuamuaga baada ya mazungumzo Waziri wa Ardhi, Kilimo, Maji, Mazingira na Makazi vijijini wa Zimbabwe na Mjumbe Maalumu wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Pretence Shiri Ikulu jijini Dar es salaam
Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

Oni moja

  1. Costantine Richard

    Sisi ni Tanzania mpya

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *