RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA MKUU WA UNHCR

RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Kamishna Mkuu wa Shirika la kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) Fillipo Grandi aliyeambatana na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Alvaro Rodrigues (kushoto) mara baada ya kumaliza Mazungumzo yao.
RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) kushoto kwake ni Kamishna Mkuu wa Shirika la kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) Fillipo Grandi ,mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam. Febuari 6, 2019.
RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Kamishna Mkuu wa Shirika la kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) Fillipo Grandi aliyeambatana na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Alvaro Rodrigues (kushoto) mara baada ya kumaliza Mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Shirika la kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) Fillipo Grandi aliyeambatana na Watendaji wakuu wa shirika hilo, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt.Agustino Mahiga . Ikulu Jijini Dar es Salaam. Febuari 6, 2019.
RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Kamishna Mkuu wa Shirika la kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) Fillipo Grandi Fillipo Grandi, alipokutana na kuzungumza nae Ikulu Jijini Dar es Salaam.
IKULU-3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Mkuu wa Shirika la kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) Fillipo Grandi aliyesiamama kulia kwa Mhe.Rais, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Agustino Mahiga, Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Alvaro Rodrigues (wapili kutoka kulia) na watendaji wa UNHCR mara baada ya kumaliza Mazungumzo yao
Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *