Serikali imetangaza kuongeza kasi ya malipo ya wakulima wa Korosho ili kufikia kiasi cha shilingi Bilioni nne (4) kila siku kwani kufanya hivyo zoezi la malipo kukamilika haraka. Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameyasema hayo leo tarehe 29 Novemba 2018 wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi …
Soma zaidi »TANZANIA TUWE WAANGALIFU HISTORIA YA KILIMO IMEJAA HADAA NA HUJUMA TELE
Historia ya kilimo duniani inaonyesha jinsi ambavyo mbinu mbalimbali zimetumika kudidimiza kilimo katika nchi zetu Afrika ili tugeuke wategemezi. Hujuma ya kwanza dhidi ya kilimo chetu ilikuwa enzi ya ukoloni, Wakoloni hawakutaka tujitosheleze kwa chakula au tuanzishe viwanda vinavyotumia mazao ya kilimo. Enzi ya ukoloni tulilazimishwa kulima mazao yanayokidhi mahitaji …
Soma zaidi »BILIONI 2 ZIMEKWISHATOLEWA KWA WAKULIMA WA KOROSHO
Serikali Kupitia Benki ya kilimo Tanzania(TADB) imetoa kiasi cha Shilingi Bilioni 2 kwa wakulima wa korosho wa mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma katika malipo ya kundi la kwanza la watu ambao wamehakikiwa kupitia vyama vya msingi na vyama vya ushirika. Akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 17, Waziri …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MAGARI YA JESHI YATAKAYOSAFIRISHA KOROSHO.
Asisitiza yeye na serikali awamu ya tano, HATINGISHWI! Alitaka Jeshi la Wananchi kuwa tayari kwa oparesheni Korosho kuanzia Jumatatu jioni tarehe 12 Novemba, 2018. Aeleza kuwa serikali ina fedha yote ya kununua korosho yote iliyozalishwa katika msimu wa kilimo. tazama hotuba za utangulizi na hotuba ya Mhe. Rais kabla ya …
Soma zaidi »TANZANIA YA VIWANDA: Wakulima Mkoani Ruvuma Waendelea Kunufaika na Kiwanda Cha Kubangua Korosho!
Zaidi ya tani 20 ambapo kg. 20,920,519 zilinunuliwa kutoka katika minada ya wakulima. Wakulima wanufaika kwa mauzo ya korosho hizo kwa kupata Tsh. Bilioni 79.78 kama malipo. Serikali yajipanga kuwathibiti wote wanaohujumu zao la korosho. Yawataka wakulima kujenga uaminifu kwa kuuza korosho safi ili kuwa na soko imara.
Soma zaidi »