MAGARI YA JESHI NA WANAJESHI WA JESHI LA WANANCHI WAKIWA TAYARI KWA UTEKELEZAJI WA AMRI YA AMIRI JESHI MKUU.

RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MAGARI YA JESHI YATAKAYOSAFIRISHA KOROSHO.

  • Asisitiza yeye na serikali awamu ya tano, HATINGISHWI!
  • Alitaka Jeshi la Wananchi kuwa tayari kwa oparesheni Korosho kuanzia Jumatatu jioni tarehe 12 Novemba, 2018.
  • Aeleza kuwa serikali ina fedha yote ya kununua korosho yote iliyozalishwa katika msimu wa kilimo.

tazama hotuba za utangulizi na hotuba ya Mhe. Rais kabla ya kukagua magari.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS MAGUFULI ATEMBELEA DAR ES SALAAM ZOO, AVUTIWA NA WANYAMA WENGI WANAOFUGWA HUMO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *