Ndio korosho bora zaidi duniani.
TANZANIA YA VIWANDA: Wakulima Mkoani Ruvuma Waendelea Kunufaika na Kiwanda Cha Kubangua Korosho!
Matokeo ChanyA+
October 16, 2018
Matokeo ChanyA+, Tanzania MpyA+
2,385 Imeonekana
- Zaidi ya tani 20 ambapo kg. 20,920,519 zilinunuliwa kutoka katika minada ya wakulima.
- Wakulima wanufaika kwa mauzo ya korosho hizo kwa kupata Tsh. Bilioni 79.78 kama malipo.
- Serikali yajipanga kuwathibiti wote wanaohujumu zao la korosho.
- Yawataka wakulima kujenga uaminifu kwa kuuza korosho safi ili kuwa na soko imara.
Ad
Unaweza kuangalia pia
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji nchini Mhe. Angellah Kairuki …