Maktaba Kiungo: KWETU MWANZA NYEGEZI

SERIKALI YAIKABIDHI MWAUWASA UJENZI WA MRADI WA MAJI KWIMBA

Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa amekabidhi ujenzi wa mradi wa maji wa Shilima Wilayani Kwimba kwa Mamlaka ya Maji Mwanza (MWAUWASA) baada ya Mkandarasi Kampuni ya Palemon Construction Ltd ya Mwanza kushindwa kukamilisha kwa wakati. Makabidhiano hayo yalifanyika hivi karibuni katika Kijiji cha Shilima na kushuhudiwa na watendaji mbalimbali …

Soma zaidi »

WAKAZI ZAIDI YA 1000 WA KANDA YA ZIWA WANUFAIKA NA HUDUMA YA UPASUAJI BURE

Zaidi ya wakazi 1000 wa Kanda ya Ziwa wamenufaika na matibabu bure hasa kwa upande wa upasuaji unaofanywa na Chama cha Madaktari wa Upasuaji Tanzania. Hayo yamebainishwa na Rais wa Chama cha Madaktari wa Upasuaji Tanzania, Dkt. Catherine Mung’ong’o wakati wa siku ya kuhitimisha zoezi la upasuaji lililofanyika kwa siku …

Soma zaidi »

UJENZI WA KITUO CHA AFYA BWISYA UKARA MKOANI MWANZA WAKAMILIKA

Majengo ya kituo cha afya cha Bwisya Ukara, Wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza Kilichojengwa kwa maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli yamewavutia na kuwafurahisha wananchi wa eneo hilo ambao walikuwa wakikabiliwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma za matibabu. Kukosekana kwa …

Soma zaidi »