Tanzania imetajwa kuweka historia katika tasnia ya madini baada ya Almasi yenye Karati 512.15 kupatikana hivi karibuni katika eneo la Maganzo Mkoani Shinyanga na kuuzwa kwa jumla ya shilingi Bilioni 3.2. Akizungumza katika mahojiano maalum kuhusiana na madini hayo,Naibu Waziri wa Madini Mhe. Stanslaus Nyongo amesema kuwa kutokana na kupatikana …
Soma zaidi »LIVE: WAZIRI BITEKO AKIWASILISHA BAJETI YA WIZARA YA MADINI
WAZIRI BITEKO AFUNGUA SOKO KUU LA MADINI MKOANI MWANZA
Waziri wa Madini, Doto Biteko amefanya uzinduzi wa Soko Kuu la Madini Mwanza na kutumia fursa hiyo kuwahimiza wachimbaji na wafanyabiashara wa madini kutumia soko hilo kuuzia madini yao na kuachana na tabia ya utoroshaji wa madini. Uzinduzi wa soko hilo unganishi Kanda ya Ziwa umefanyika Mei 08, 2019 katika …
Soma zaidi »SOKO LA MADINI LA FUNGULIWA CHUNYA
ALMASI KUBWA YAPATIKANA MKOANI SHINYANGA
Almasi yenye ukubwa wa karati 521 imepatikana katika mgodi wa Mwadui Mkoani Shinyanga tangu mgodi huo uanze uzalishaji miaka 87 iliyopita. Akitoa taarifa hiyo Ofisini kwake mbele ya waandishi wa Habari tarehe 30 Aprili, 2019, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack amesema almasi hiyo itauzwa ndani ya nchi …
Soma zaidi »TEMESA YAFUNGA TAA KUZUNGUKA UKUTA WA MACHIMBO YA MERERANI
TUNATAKA KURAHISISHA MAZINGIRA BIASHARA YA MADINI – BITEKO
Waziri wa Madini Doto Biteko amesema Serikali kupitia Wizara yake inalenga kurahisisha Mazingira ya Biashara ya Madini ikiwemo kuwalea wachimbaji na kuwataka wafanyabiashara na wachimbaji kuhakikisha wanajisimamia wenyewe kwa manufaa yao na Taifa. Waziri Biteko ameyasema hayo alipokutana na viongozi wa Chama Cha Wafanyabiashara wa Madini Tanzania (TAMIDA), wakiongozwa na …
Soma zaidi »WAZIRI WA MADINI WA UGANDA YUPO NCHINI KUJIFUNZA NAMNA SEKTA YA MADINI INAVYOENDESHWA
WIZARA ITAENEDLEA KUANZISHA MASOKO YA MADINI – WAZIRI BITEKO
Wizara ya Madini itaendelea kusimamia Uanzishwaji wa Masoko ya Madini katika maeneo mbalimbali nchini huku ikiendelea kufanya marekebisho ya Kanuni za Uanzishwaji wa masoko hayo. Waziri wa Madini Doto Biteko ameyasema hayo Machi 31, 2019 wakati akifunga Semina ya siku mbili iliyoandaliwa na wizara kwa Wabunge wa Kamati ya Kudumu …
Soma zaidi »