Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ametembelea kiwanda cha mabomba cha Tanzania Steel Pipes kinachotengeneza mabomba ya kusafirishia maji kwenye mradi wa maji wa Mlandizi- Chalinze- Mboga, ambapo takribani mabomba 321 yameanza kusafirishwa kwa ajili ujenzi wa mradi huo unaotarajiwa kuanza katikati ya mwezi April. Amesema, kukamilika kwa mradi huo ambao …
Soma zaidi »LIVE CATCH UP: RAIS MAGUFULI KATIKA HAFLA YA KUTUNUKU KAMISHENI MAAFISA WAPYA WA JWTZ KUNDI LA 65. IKULU JIJINI DSM.
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 30 Machi, 2019 anawatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 146 wa JWTZ katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam.
Soma zaidi »UTOAJI WA ELIMU BORA NI KIPAUMBELE CHA NCHI – WAZIRI MKUU MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema utoaji wa elimu bora kwa Watanzania ni moja ya vipaumbele vya nchi katika kuleta maendeleo na kufikia malengo ya Milenia 2025, Elimu kwa wote (EFA) na Mkakati wa Kupambana na Kupunguza Umasikini Tanzania (MKUKUTA). Amesema ili kuweza kufanikisha malengo hayo wanahitaji sekta hiyo kuwa bora, …
Soma zaidi »LIVE KUTOKA JNICC: MAKAMU WA RAIS AKIFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SAYANSI NA AFYA
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA NBC
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 26, Machi 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Ndugu Theobald Maingu Sabi ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi huyo amefika ofisini kwa Makamu wa Rais kwa lengo …
Soma zaidi »LIVE CATCH UP:TAKUKURU; YEYOTE ATAKAYE MUONA HUYU ATUPE TAARIFA HARAKA!
LIVE IKULU: RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WACHEZAJI WA TAIFA STARS NA BONDIA MWAKINYO
Oniline Radio, Bofya link hii http://myradiostream.com/mobile/MatokeochanyAtz
Soma zaidi »LIVE CATCH UP: WAZIRI PROF. KABUDI AKIZUNGUMZIA UJUMBE ULIOFIKA NCHINI KUTOKA QATAR NA NORWAY
Aelezea ujio wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Qatar aliyefika nchini siku Jumatano tarehe 20 Machi, 2019 na kuondoka Alhamisi tarehe 21 Machi, 2019. Qatar kushirikiana na Tanzania katika uwekezaji kwenye uchimbaji na uvunaji wa gesi pamoja na uwekezaji katika uwekezaji wa hoteli …
Soma zaidi »WAKAZI WA MAJOHE NA VITONGOJI VYAKE JIJINI DAR KUPATA MAJI SAFI NA SALAMA
Wakazi zaidi ya 700,000 wa Majohe na vitongoji vyake jijini Dar es Salaam wanatarajia kupatiwa majiSafi na Salama ifikapo mwishoni mwa mwezi Aprili 2019. Serikali kuwajengea Tanki la Maji lenye uwezo wa kuhifadhi Lita 150,000 kwa siku katika Mtaa wa Kichangani. Akiweka jiwe la Msingi kwa niaba ya Mkuu wa …
Soma zaidi »