Maktaba Kiungo: MKOA WA DAR ES SALAAM

PROF MBARAWA AHIMIZA JAMII KUSHIRIKI KULIENDELEZA BONDE LA MTO ZAMBEZI

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa  Makame Mbarawa, amefungua Mkutano wa Saba wa Mawaziri wa Maji wa nchi nane  zilinazohusiana na Bonde la Mto Zambezi (Zambezi Watercourse Commission – ZAMCOM) na kuitaka jamii ya mataifa hayo kuona umuhimu wa kamisheni ya chombo hicho kuendelea kuimarika na kusimamia rasilimali za ZAMCOM …

Soma zaidi »

UJENZI WA RELI YA KISASA DAR ES SALAAM – MOROGORO WAKAMILIKA KWA ASLIMIA 42

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa Serikali imedhamiria kwa dhati kukamilisha mradi mkubwa wa Reli kwa kiwango cha Kimataifa (SGR), ambapo tayari kiasi cha zaidi ya shilingi trilioni 2 kimetolewa mpaka sasa kwa ajili ya ujenzi huo. Dkt. Kijaji ametoa kauli hiyo baada ya kutembelea …

Soma zaidi »

WAFANYABIASHARA WA MAFUTA KUJIUNGA KATIKA UMOJA WA KISEKTA NI HIARI SIYO LAZIMA – KALEMANI

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amesema kamwe Serikali haiwezi kumlazimisha mdau yeyote wa sekta ya mafuta nchini kujiunga na Chama, Jumuiya au Umoja wowote wa kisekta kwani hilo ni suala la hiyari kwa kila mmoja. Badala yake, Waziri Kalemani, ameushauri uongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Mafuta Tanzania (Tanzania …

Soma zaidi »

MAMLAKA YA KUPAMBANA NA KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA YADHIBITI WASAFIRISHAJI DAWA ZA KULEVYA

Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya Rogers Sian’ga amesema kwa sasa wamefanikiwa kidhibiti njia ambazo zilizokuwa zinatumiwa na wafanyabiashara wa dawa za kulevya kuingiza dawa hizo nchini. Amesema kwa sasa njia ambayo inatumiwa na baadhi ya wanaojihusisha na biashara haramu ya dawa hizo imebaki ya …

Soma zaidi »