Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akitekeleza majukumu ya kiserikali na kuzungumza na Wananchi wa maeneo mbalimbali kabla ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa bwawa la kufua umeme la mto Rufiji
Soma zaidi »SERIKALI KUPITIA UPYA MASHAMBA YALIYOFUTWA NA RAIS KILOSA
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema wizara yake itapitia upya mashamba yote yaliyofutwa na Raisi katika wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro. Lukuvi amesema hayo tarehe 16 Mei 2019 katika kata ya Chanzulu tarafa ya Kimamba wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro alipozungumza na wananchi …
Soma zaidi »WAKAZI WA MOROGORO WARIDHIA UWEKEZAJI WA KIWANDA CHA SUKARI
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ameridhika na uwekezaji wa kilimo cha miwa na ujenzi wa kiwanda cha sukari katika kata ya Mvuha iliyopo Morogoro Vijijini ambapo kampuni ya Morogoro Sugar inataraji kuwekeza. Akizungumza wakati wa mkutano wa Madiwani na Wenyeviti wa Vijiji tisa vilivyopo …
Soma zaidi »UJENZI WA SGR DAR MPAKA MORO WAFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 48
TRC YAJIVUNIA UBORA WA MIUNDOMBINU
Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania TRC Masanja Kadogosa amesema shirika lake limepunguza ajali kubwa za treni kwa asilimia miamoja katika kipindi cha miaka mitatu na nusu na kwamba wanakusudia kuziondoa kabisa hata ajali ndogo kwa kuimarisha miundombinu ya reli. Bw. Kadogosa alisema hatua hiyo inatokana na kuimarisha miundombinu ya …
Soma zaidi »UJENZI WA MZANI DAKAWA MKOANI MOROGORO UMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 98
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), kujenga nyumba za watumishi kwenye mzani mpya unaojengwa Dakawa Mkoani Morogoro ili kuwapunguzia adha wafanyakazi watakaokuwa wakifanya kazi kituoni hapo. Akizungumza mara baada ya kukagua mradi huo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo …
Soma zaidi »GAIRO SASA KUPATA MAJI SAFI NA SALAMA MWISHONI MWA MWEZI WA 3 2019
Mkuu wa Wilaya ya Gairo Siriel Mchembe, amewahakikishia wananchi wa Gairo kuondokana na tatizo la ukosefu wa maji safi na salama baada ya kukamilika kwa mtambo wa kuchuja chumvi. Mkuu wa Wilaya amesema kuwa mtambo huo ambao unatengenezwa nchini Italy unatarajiwa kukamilika mwezi machi 2019. Kwa upande wao Wenyeviti wa …
Soma zaidi »WAKUU WA MIKOA WOTE WAKABIDHIWA AWAMU YA PILI YA VITAMBULISHO VYA WAFANYABISHARA NDOGONDOGO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
MABORESHO UJENZI WA RELI YA ZAMANI (MGR): UJENZI WA TUTA JIPYA,MAKARAVATI NA UWEKAJI WA RELI WAENDELEA KWA KASI KIDETE-GODEGODE MKOANI MOROGORO
WAZIRI MPANGO ATOA TAARIFA HALI YA UCHUMI NA UTEKELEZAJI WA BAJETI KUU YA SERIKALI 2018/2019
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO HALI YA UCHUMI WA TAIFA NA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA SERIKALI 30 Desemba 2018, Dar es salaam. Pato la Taifa (kwa bei za 2007) Uchumi wa Taifa umeendelea kuwa imara, ukikua kwa 7.1% (2017) ikilinganishwa na wastani wa ukuaji wa …
Soma zaidi »