Kazi ya Kuhamisha kipande cha reli chenye urefu wa Kilometa 1.3 ikiendelea eneo la Kidete - Godegode umbali wa KM 337 - 338 ili kudhibiti mafuriko ya mto Mkondoa yanayoathiri miundombinu ya reli na kupelekea kusitishwa kwa Huduma za Usafiri wa reli mara kadhaa wakati wa mvua kubwa. Kazi inajumuisha ujenzi wa tuta jipya la reli, ujenzi wa Makalavati pamoja na uwekaji wa reli katika tuta jipya hivi karibuni Januari 2019.

MABORESHO UJENZI WA RELI YA ZAMANI (MGR): UJENZI WA TUTA JIPYA,MAKARAVATI NA UWEKAJI WA RELI WAENDELEA KWA KASI KIDETE-GODEGODE MKOANI MOROGORO

Kazi ya kuweka kifusi
Kazi ya kuweka kifusi na kupanga mawe kwenye kingo ya mto Mkondoa kwa ajili ya kudhibiti mafuriko ya mto Mkondoa yanayoathiri miundombinu ya reli na kupelekea kusitishwa kwa Huduma za Usafiri wa reli mara kadhaa wakati wa mvua kubwa.
Muendesha mtambo
Muendesha mtambo akiendelea na kazi ya kuweka kifusi na kupanga mawe kwenye kingo ya mto Mkondoa kwa ajili ya kudhibiti mafuriko ya mto Mkondoa yanayoathiri miundombinu ya reli na kupelekea kusitishwa kwa Huduma za Usafiri wa reli mara kadhaa wakati wa mvua kubwa.
 Sehemu ya Mto Mkondoa
Sehemu ya Mto Mkondoa ikiwa imewekewa kingo za mawe kwa ajili ya kudhibiti mafuriko ya mto Mkondoa yanayoathiri miundombinu ya reli na kupelekea kusitishwa kwa Huduma za Usafiri wa reli mara kadhaa wakati wa mvua kubwa.
Kazi ya Kuhamisha kipande cha reli
Kazi ya Kuhamisha kipande cha reli chenye urefu wa Kilometa 1.3 ikiendelea eneo la Kidete – Godegode umbali wa KM 337 – 338 ilikudhibiti mafuriko ya mto Mkondoa yanayoathiri miundombinu ya reli na kupelekea kusitishwa kwa Huduma za Usafiri wa reli mara kadhaa wakati wa mvua kubwa. Kazi inajumuisha ujenzi wa tuta jipya la reli, ujenzi wa Makalavati pamoja na uwekaji wa reli katika tuta jipya hivi karibuni Januari 2019.
Ad

Unaweza kuangalia pia

SERIKALI KUTOINGILIA TAALUMA YA UKAGUZI WA HESABU ZA FEDHA

Serikali imeeleza kuwa haina mpango wa kuingilia taaluma ya ukaguzi wa hesabu nchini kwa kuondoa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *