Muonekano wa jengo la mzani mpya unaojengwa Dakawa Mkoani Morogoro. Mradi huo umekamilika kwa asilimia 98.

UJENZI WA MZANI DAKAWA MKOANI MOROGORO UMEKAMILIKA KWA ASILIMIA 98

  • Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), kujenga nyumba za watumishi kwenye mzani mpya unaojengwa Dakawa Mkoani Morogoro ili kuwapunguzia adha wafanyakazi watakaokuwa wakifanya kazi kituoni hapo.
MZANI-1
Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akifafanua jambo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuhusu maendeleo ya ujenzi wa kituo cha Mizani kinachojengwa Dakawa Mkoani Morogoro, wakati kamati hiyo ilipokagua mzani huo. Wa nne kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Suleiman Kakoso.
  • Akizungumza mara baada ya kukagua mradi huo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Moshi Sulemani Kakoso ameipongeza Wizara na kuhakikisha kuwa pamoja na kujengewa nyumba hizo, pia Wizara iwasimamie watumishi wa mzani vizuri ili kuepuka vitendo vya rushwa.
MZANI-2
Mafundi wa Kampuni ya Group Six International wakiendelea na ufungaji wa Kamera katika mzani mpya unaojengwa eneo la Dakawa mkoani Morogoro.
  • “Serikali imetumia fedha nyingi kujenga mzani huu, nawapongeza sana lakini sasa ni muhimu watumishi wa mzani huu wakasimamiwa vyema ili kuepuka vitendo vya rushwa vinavyofanywa na watumishi wasio waaminifu” amesema Mwenyekiti. Kakoso.
  • Mwenyekiti Kakoso, ametoa wito kwa wafanyabiashara wote nchini kuhakikisha wanazingatia sheria za mizani kwa kupakia mizigo isiyozidi kiwango ili kulinda miundombinu ya barabara nchini.
MHANDISI
Mhandisi Mshauri Kasmir Mustapha (kulia), akitoa taarifa kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuhusu maendeleo ya ujenzi wa kituo cha Mizani kinachojengwa Dakawa Mkoani Morogoro, wakati kamati hiyo ilipokagua mzani huo.
  • Kwa upande wake Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, ameihakikishia Kamati hiyo kuwa Serikali imejipanga kuhakikisha changamoto zote zilizowasilishwa zinatatuliwa mapema ili kuongeza ufanisi.
  • Naibu Waziri huyo ameieleza kamati hiyo kuwa ujenzi wa mzani huo unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu kwa gharama ya zaidi ya shilingi Bilioni 14.
  • Naye Mkuu wa Kitengo cha Usalama na Mazingira kutoka Sekta ya Ujenzi Mhandisi Julius Chambo, amesema ujenzi wa mzani huu unatokana na mzani wa Kihonda kuzidiwa na msongamano wa magari kwa kuwa ni wa upande mmoja.
  • Ameeleza kuwa ukamilikaji wa mzani huu utasaidia kuokoa muda kwa wasafirishaji na kuondosha msongamano uiopo sasa katika mzani wa Kihonda kwani mzania huu utapima tu yale magari yanayoonekana yamezidi uzito tu.
Ad

Unaweza kuangalia pia

UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. PANGANI II WAKAMILIKA

44 Maoni

  1. Sabuni Joseph Feleshi

    Please help me to get more application

  2. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  3. 1xbet https://1xbet.best-casino-ar.com with withdrawal without commission. Register online in a few clicks. A large selection of slot machines in mobile applications and convenient transfers in just a few minutes.

  4. Welcome to the site dedicated to Michael Jordan https://michael-jordan.com.az, a basketball legend and symbol of world sports culture. Here you will find highlights, career, family and news about one of the greatest athletes of all time.

  5. Usain St. Leo Bolt https://usain-bolt.com.az Jamaican track and field athlete, specialized in short-distance running, eight-time Olympic champion and 11-time world champion (a record in the history of this competition among men).

  6. UFC news https://ufc-ar.com, schedule of fights and tournaments 2024, ratings of UFC fighters, interviews, photos and videos. Live broadcasts and broadcasts of tournaments, statistics, forums and fan blogs.

  7. A study of the influence of Rodrigo https://realmadrid.rodrygo-cz.com on the success and marketing strategy of Real Madrid: analysis of technical skills, popularity in Media and commercial success.

  8. Latest boxing news, achievements of Raisol Abbasov https://boxing-ar.com, Tyson Fury fights and much more. It’s all about the boxing ambassador.

  9. Приветствую. Подскажите, где почитать полезные блоги о недвижимости? Пока нашел https://utc96.ru

  10. Приветствую. Может кто знает, где почитать разные статьи о недвижимости? Пока нашел https://vortex-los.ru

  11. Приветствую. Может кто знает, где почитать полезные блоги о недвижимости? Сейчас читаю https://yah-bomag.ru

  12. Приветствую. Может кто знает, где найти полезные блоги о недвижимости? Сейчас читаю https://zt365.ru

  13. Всем привет! Может кто знает, где почитать разные статьи о недвижимости? Сейчас читаю https://astali.ru

  14. Всем привет! Может кто знает, где найти полезные блоги о недвижимости? Сейчас читаю https://batstroimat24.ru

  15. Всем привет! Подскажите, где почитать разные статьи о недвижимости? Пока нашел https://bdrsu-2.ru

  16. Del Mar Energy Inc is an international industrial holding company engaged in the extraction of oil, gas, and coal

  17. Приветствую. Может кто знает, где найти разные статьи о недвижимости? Пока нашел https://centro-kraska.ru

  18. Всем привет! Может кто знает, где почитать полезные статьи о недвижимости? Пока нашел https://cvetkrovli.ru

  19. Приветствую. Подскажите, где почитать разные блоги о недвижимости? Пока нашел https://deon-stroy.ru

  20. Explore the rich history and unrivaled atmosphere of the iconic Old Trafford Stadium https://old-trafford.manchester-united-fr.com, home of one of the world’s most decorated football clubs, Manchester United.

  21. Наш ресурс предлагает вам важную информацию на такие темы, как аренда земельных участков или нотариальные услуги.
    Посетите наш сайт и начните свой путь к новому дому уже сегодня!

  22. From academy product to captain and leader of Real Madrid https://real-madrid.ikercasillas-br.com Casillas became one of the greatest players in the history of Real Madrid.

  23. Всем привет! Может кто знает, где найти разные блоги о недвижимости? Сейчас читаю https://adeldv.ru

  24. The fascinating story of Sergio Ramos’ https://seville.sergioramos.net rise from Sevilla graduate to one of Real Madrid and Spain’s greatest defenders.

  25. Всем привет! Может кто знает, где почитать разные статьи о недвижимости? Пока нашел https://eniseynev.ru

  26. Всем привет! Подскажите, где почитать полезные блоги о недвижимости? Сейчас читаю https://fuseitdecore.ru

  27. Всем привет! Может кто знает, где почитать разные блоги о недвижимости? Сейчас читаю https://galastroy-sk.ru

  28. Приветствую. Подскажите, где найти разные статьи о недвижимости? Сейчас читаю https://ggs45.ru

  29. Приветствую. Может кто знает, где почитать разные статьи о недвижимости? Сейчас читаю https://glwin.ru

  30. Приветствую. Может кто знает, где почитать разные блоги о недвижимости? Сейчас читаю https://gor-bur.ru

  31. Приветствую. Может кто знает, где почитать разные статьи о недвижимости? Сейчас читаю https://hameleon1.ru

  32. Всем привет! Подскажите, где найти разные блоги о недвижимости? Пока нашел https://iskrb.ru

  33. Всем привет! Подскажите, где почитать полезные статьи о недвижимости? Пока нашел https://juzhnybereg24.ru

  34. Daniel Alves https://paris-saint-germain.danielalves.net is a name that symbolizes the greatness of the world of football.

  35. Приветствую. Подскажите, где найти разные блоги о недвижимости? Пока нашел https://klimat-hck.ru

  36. Всем привет! Может кто знает, где найти разные статьи о недвижимости? Пока нашел https://kolahouse.ru

  37. Приветствую. Подскажите, где почитать полезные статьи о недвижимости? Пока нашел https://komdizrem.ru

  38. Приветствую. Подскажите, где почитать полезные статьи о недвижимости? Пока нашел https://konditsioneri-shop.ru

  39. RDBox.de https://rdbox.de bietet schallgedammte Gehause fur 3D-Drucker, die eine sehr leise Druckumgebung schaffen – nicht lauter als ein Kuhlschrank. Unsere Losungen sorgen fur stabile Drucktemperatur, Vibrationsisolierung, Luftreinigung und mobile App-Steuerung.

  40. Karim Benzema https://al-ittihad.karimbenzema.ae is a name worthy of admiration and respect in the world of football.

  41. Maria Sharapova https://tennis.maria-sharapova-ar.com was born on April 19, 1987 in Nyagan, Russia. When Masha was 7 years old, her family moved to Florida, where she started playing tennis.

  42. Monica Bellucci https://dracula.monica-bellucci-ar.com one of the most famous Italian actresses of our time, has a distinguished artistic career spanning many decades. Her talent, charisma, and stunning beauty made her an icon of world cinema.

  43. Mike Tyson https://american-boxer.mike-tyson-ar.com one of the most famous and influential boxers in history, was born on June 30, 1966 in Brooklyn, New York.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *