MINADA 6 YA KOROSHO MSIMU WA MWAKA 2019/2020 YAINGIZA BILIONI 406.3
Zao la korosho katika msimu wa kilimo wa mwaka 2019/2020 limeingiza zaidi ya Bilioni 406.3 kupitia minada sita ambayo imekwishafanyika kwa nyakati tofauti. Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameyasema hayo leo tarehe 13 Disemba 2019 wakati akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe Gelasius Byakanwa mara baada ya …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA KONGAMANO LA BIASHARA NA WAKANDARASI KANDA YA KUSINI
WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI NA MAONESHO YA BIASHARA MTWARA 2019
RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BAADHI YA MAWAZIRI, WAKUU WA MIKOA NA WILAYA PAMOJA NA KAIMU MKURUGENZI WA TAKUKURU
LIVE: RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MASASI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli ambaye ameongozana na Mkewe Mama Janeth Magufuli tarehe 16 Oktoba, 2019 anaendelea na ziara yake Nachingwea na Masasi
Soma zaidi »MRADI WA MATUMIZI YA GESI MAJUMBANI MKOANI MTWARA KUOKOA MAZINGIRA
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amesema kuwa, mradi wa matumizi ya gesi majumbani ambao utazinduliwa hivi karibuni katika mkoa wa Mtwara utasaidia kuepuka matumizi ya mkaa ambao licha ya kuharibu mazingira, husabisha maradhi mbali mbali. Alisema hayo, Septemba 14, 2019 kwa nyakati tofauti wilayani Kibiti, Mkoa wa Pwani, alipokuwa …
Soma zaidi »UJENZI WA GATI JIPYA BANDARI YA MTWARA WAENDELEA VIZURI
MAENDELEO YA UJENZI WA GATI JIPYA KATIKA BANDARI YA MTWARA
TATIZO LA MAJI NANDAGALA LAWA HISTORIA
Wananchi washangilia, waishukuru Serikali kwa kuwasogezea huduma CHANGAMOTO ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama iliyokuwa inawakabili wananchi wa vijiji vya Nandagala ‘B’ na Ingawali wilayani Ruangwa imekuwa historia baada ya Ubalozi wa Uturiki kupitia taasisi yake ya Diyanet kuwachimbia visima virefu. Visima hivyo viwili vimekabidhiwa kwa Waziri …
Soma zaidi »