WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI NA MAONESHO YA BIASHARA MTWARA 2019

2-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mtwara ambako alifungua Mwongozo wa Uwekezaji na Maonesho ya Biashara Mtwara 2019 kwenye viwanja vya Chuo cha Ualimu cha Mtwara, Novemba 1, 2019. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Angela Kairuki (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
3-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Angela Kairuki (kushoto) wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), James Mataragio (wa tatu kushoto) kuhusu mtandao visama vya gesi vya Songosongo na Mtwara pamoja na mtandao wa usambazaji na matumizi wa gesi hiyo. Alikuwa akikagua Maonesho ya Biashara Mtwara kabla ya kufungua Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa huo, Novemba 1, 2019. Wa nne kushoto ni Waziri wa Biashara na Viwanda, Innocent Bashungwa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Ad

Unaweza kuangalia pia

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.