RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BAADHI YA MAWAZIRI, WAKUU WA MIKOA NA WILAYA PAMOJA NA KAIMU MKURUGENZI WA TAKUKURU

1-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta baada ya kukutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 1, 2019
2-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta baada ya kukutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 1, 2019 PICHA NA IKULU
3-1-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika kikao cha viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 1, 2019
Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS MAGUFULI ATEMBELEA DAR ES SALAAM ZOO, AVUTIWA NA WANYAMA WENGI WANAOFUGWA HUMO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *