Hatua iliyofikiwa ni: kuendelea na Ujenzi wa meli mpya yenye uwezo wa kubeba abiria 1,200 na tani 400 za mizigo katika ziwa Victoria; kufikia asilimia 82 ya ujenzi wa meli moja mpya yenye uwezo wa kubeba abiria 200 na mizigo tani 200 za mizigo katika ziwa Nyasa; na kukamilika kwa …
Soma zaidi »UJENZI WA KITUO CHA AFYA BWISYA UKARA MKOANI MWANZA WAKAMILIKA
Majengo ya kituo cha afya cha Bwisya Ukara, Wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza Kilichojengwa kwa maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli yamewavutia na kuwafurahisha wananchi wa eneo hilo ambao walikuwa wakikabiliwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma za matibabu. Kukosekana kwa …
Soma zaidi »UJENZI WA MIUNDOMBINU YA RADA UMEFIKIA ASILIMIA 90
Ufungaji wa rada nne za kuongozea ndege za kiraia JNIA, KIA, Mwanza na Songwe: Hatua iliyofikiwa ni: JNIA: Kukamilika kwa asilimia 95 ya miundombinu ya rada. Mwanza: Ujenzi wa miundombinu ya rada unaendelea vizuri. KIA: Ujenzi wa miundombinu ya rada unaendelea na umefikia asilimia 90. Songwe: taratibu za ujenzi wa …
Soma zaidi »UBORESHAJI WA RELI YA KATI KUTOKA DAR – ISAKA WAFIKIA 10%
Uboreshaji wa Reli ya Kati – TIRP kutoka Dar es Salaam hadi Isaka yenye urefu wa kilometa 900 pamoja na uboreshaji wa tuta na kuweka reli mpya zenye uwezo wa kubeba mzigo mkubwa na kwenda kasi zaidi ya kilometa 70 kwa saa ili kuokoa muda na kutoa huduma ya uhakika …
Soma zaidi »WAKUU WA MIKOA WOTE WAKABIDHIWA AWAMU YA PILI YA VITAMBULISHO VYA WAFANYABISHARA NDOGONDOGO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
SERIKALI INA MACHO – NAIBU WAZIRI BITEKO
Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko amewaeleza watanzania wasiofuata Sheria katika utafutaji, uchimbaji na biashara ya madini nchini kuwa Serikali inaona na itafika popote madini yanapochibwa pasipo vibali halali vya kufanya shughuli hiyo. Biteko ameyasema hayo mwishoni mwa wiki, Tarehe 5 mwezi Januari, 2019 alipofanya ziara ya kukagua eneo ambako …
Soma zaidi »WAZIRI KALEMANI AWATAKA WAKANDARASI MIRADI YA UMEME KUELEZA MIPANGO KAZI YAO KWA VIONGOZI
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini nchini kote, kuwasilisha mipango-kazi yao kwa viongozi na wawakilishi wa wananchi wa maeneo wanakofanyia kazi ili waweze kuielewa hivyo kusimamia utekelezaji wake. Alitoa maagizo hayo jana, Desemba 30, 2018 wilayani Ukerewe akiwa katika ziara ya kazi kukagua …
Soma zaidi »WAZIRI MPANGO ATOA TAARIFA HALI YA UCHUMI NA UTEKELEZAJI WA BAJETI KUU YA SERIKALI 2018/2019
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO HALI YA UCHUMI WA TAIFA NA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA SERIKALI 30 Desemba 2018, Dar es salaam. Pato la Taifa (kwa bei za 2007) Uchumi wa Taifa umeendelea kuwa imara, ukikua kwa 7.1% (2017) ikilinganishwa na wastani wa ukuaji wa …
Soma zaidi »“SERIKALI YETU INATUJALI NA KUTUPENDA SANA” – DIAMOND PLATNUMZ
Afanya mahojiano na waandishi wa habari jijini Nairobi. Azungumzia tatizo lililotokea katika onesho la Mwanza na kukiri kuwa yeye na wasanii wenzake walikosea na serikali imewasikiliza na kuwasamehe. Aeleza taratibu walizoelekezwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kumaliza kosa walilofanya na namna wanavyolitekeleza. Sasa Wasafi Festival 2018 kuendelea …
Soma zaidi »