Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepokea leseni ya usajili wa chaneli ya utalii ya Tanzania Safari ambayo itaiwezesha kuoneshwa kwa umma bila ya malipo yoyote (a must-carry channel) na wamiliki wa visimbusi. Waziri Mkuu amekabidhiwa leseni hiyo leo mchana (Jumatano, 16 Januari, 2019) kwenye kikao alichokiitisha ofisini kwake Mlimwa, jijini Dodoma …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS IHUMWA DODOMA
NAIBU WAZIRI, KANYASU ATEMBELEA IHUMWA MJI WA SERIKALI KUKAGUA UJENZI JENGO LA MALIASILI NA UTALII
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu amesema ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa jengo la Wizara ya Maliasili na Utalii linalojengwa ndani ya mji wa Serikali katika eneo la Ihumwa Jijini Dodoma. Ameyabainisha hayo wakati alipotembelea eneo hilo kwa ajili ya kukagua maendeleo yaliyofikiwa katika ujenzi …
Soma zaidi »UJENZI WA MJI WA SERIKALI JIJINI DODOMA WASHIKA KASI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt Hamisi Mwinyimvua amewaasa wakazi wa Mkoa wa Dodoma kuchangamkia fursa za kazi za ujenzi zinazoendelea katika Mji wa Serikali uliopo Ihumwa jijini Dodoma. Katibu Mkuu ameyasema hayo leo jijini Dodoma baada ya kukagua kazi ya ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati ambapo …
Soma zaidi »WAKUU WA WILAYA CHONGOLO NA GIFT MSUYA WAZUNGUMZIA MAFANIKIO YA 2018
Wakuu wa Wilaya za Kinondoni, Daniel Chongolo na Wilaya ya Uyui, Gift Msuya kwa pamoja wamepongeza Juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano katika kipindi cha mwaka 2018 ambazo zilizolenga kuboresha huduma za jamii na kuinua maisha ya wananchi. Akizungumza katika mahojiano maalum na Idara ya Habari-MAELEZO, Mkuu wa Wilaya …
Soma zaidi »WAZIRI MPANGO ATOA TAARIFA HALI YA UCHUMI NA UTEKELEZAJI WA BAJETI KUU YA SERIKALI 2018/2019
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO HALI YA UCHUMI WA TAIFA NA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA SERIKALI 30 Desemba 2018, Dar es salaam. Pato la Taifa (kwa bei za 2007) Uchumi wa Taifa umeendelea kuwa imara, ukikua kwa 7.1% (2017) ikilinganishwa na wastani wa ukuaji wa …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA MRADI WA UENDELEZAJI MIJI YA KIMKAKATI KATIKA JIJI LA DODOMA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea Mradi wa Uendelezaji wa Miji ya Kimkakati katika jiji la Dodoma na kukagua ujenzi wa maegesho ya malori makubwa katika eneo la Nala na uboreshwaji wa mandhari ya eneo la kupumzikia la Chinangalijijini Dodoma. Pia amemuagiza Mkurugenzi wa jiji la Dodoma, Godwin Kunambi andelee kutenga …
Soma zaidi »MKANDARASI JENGO LA WIZARA YA NISHATI ATAKIWA KUKAMILISHA KAZI YA UJENZI KWA WAKATI
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amemtaka mkandarasi anayetekeleza kazi ya ujenzi wa Jengo la Wizara ya Nishati linalojengwa katika Mji wa Serikali, Ihumwa jijini Dodoma kuhakikisha kuwa anakamilisha kazi hiyo kwa wakati uliopangwa. Akizungumza katika eneo la Ihumwa WaziriKalemani amesema kuwa, ili kufanikisha utekelezaji wa kazi hiyo kwa wakati …
Soma zaidi »video:DC KATAMBI; Kila Familia mjini Dodoma ni lazima ipande miti mitatu.
• Zoezi linaanza baada ya tango la Mhe. Dc Katambi • Kila familia itakayopanda miti hiyo itawajibika kuiyunza wakati wote • Ukaguzi wa mara kwa mara kufanyika kukagua miti iliyopandwa nyumba kwa nyumba. Fuatilia agizo la Mhe. Katambi kwa kubofya link hii 👇🏽 https://youtu.be/YWZK6g-Ro9Y
Soma zaidi »