MAKAMU WA RAIS AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS IHUMWA DODOMA

MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimwagilia maji mti wa kumbukumbu mara baada ya kuupanda katika eneo ambalo Ofisi ya Makamu wa Rais inajengwa Ihumwa Dodoma
MAKAM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa kumbukumbu mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Ihumwa Dodoma
MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (kushoto) na Katibu Mkuu wa ofisi hiyo Mhandisi Joseph Malongo pamoja na viongozi mbalimbali.
JENGO
Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira ukiendelea kwa kasi nzuri Ihumwa Dodoma.
MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa kumbukumbu mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Ihumwa Dodoma
MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Ihumwa Dodoma akiwa pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (kushoto) na Katibu Mkuu wa ofisi hiyo Mhandisi Joseph Malongo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya kina juu ya maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Ihumwa Dodoma kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (kushoto).
NYUMBA-3

JENGO LA OFISI
Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira ukiendelea kwa kasi nzuri Ihumwa Dodoma.
Ad

Unaweza kuangalia pia

SERIKALI KUENDELEA KUCHUKUA HATUA KWA WAZALISHAJI NA WASAMBAZAJI WA MIFUKO ISIYOKIDHI VIWANGO – WAZIRI ZUNGU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *