Maktaba Kiungo: NAI U SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

SERIKALI YAOKOA MABILIONI UENDESHAJI MASHAURI YA MADAI

Serikali imesema mabadiliko kwenye sekta ya sheria nchini hususani Ofisi ya Mwanasheria Mkuu yameanza kuleta tija baada ya kuongeza ufanisi na kuokoa fedha ambazo hapo awali zilikuwa zikitumika kuwalipa mawakili binafsi. Akijibu swali la Mbunge wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kuebenea ambae alitaka kujua kiasi cha fedha ambacho serikali imeokoa tangu …

Soma zaidi »

SERIKALI KUFANYA UTAFITI NA TATHMINI KUHUSU MAJI KUJAA KWENYE MASHAMBA

Serikali imearifu kuwa inafanya utafiti na tathmini ya kina ya maji kujaa kwenye mashamba ya wakulima katika maeneo mbalimbali nchini. Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba ameyasema hayo Bungeni Jijini Dodoma leo tarehe 10 Juni 2019 wakati akijibu swali la Mhe Yahaya Omary Massare wa Jimbo la Manyoni Magharibi …

Soma zaidi »

SERIKALI KUFANYA UKAGUZI NA TATHMINI YA KINA YA MIRADI YOTE YA UMWAGILIAJI NCHINI – MHE MGUMBA

Serikali iko katika mchakato wa kufanya ukaguzi na tathmini ya kina ya miradi yote ya umwagiliaji nchini ili kufanya uhakiki wa eneo la umwagiliaji kwa lengo la kubaini ubora wa miradi, thamani ya fedha, gharama za mradi na mahitaji halisi ya sasa ya kuboresha, kuendeleza na kuongeza miradi mipya ya …

Soma zaidi »