Video Makamu wa Rais akifungua Mkutano.
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAJAJI NA MAHAKIMU WANAWAKE TANZANIA
BARAZA LA MAWAZIRI LA RIDHIA KUFUTA DENI LA Sh. BILIONI 22.9 KWA TANESCO KWENYE UMEME ULIOUZWA ZECO
Baraza la Mawaziri limeridhia utozwaji wa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwa kiwango cha asilimia sifuri kwenye umeme unaouzwa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa Shirika la Umeme la Zanzibar (ZECO) na kufuta malimbikizo ya deni la kodi ya VAT lililofikia shilingi Bilioni 22.9 kwa TANESCO kwenye umeme …
Soma zaidi »LIVE: Sherehe za Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar
MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WANYUMBA YA MAKAZI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kutumia Vikosi vyake katika ujenzi wa miradi ya maendeleo. Makamu wa Rais ametoa pongezi zake leo wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi wa ujenzi wa nyumba ya …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AFUNGUA JENGO LA TAASISI YA KARUME YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Asema kukamilika kwa taasisi hiyo kutakuwa na manufaa makubwa kwa jamii Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefungua Jengo la Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia (KIST), wilaya ya Magharibi ‘B’ lililojengwa kwa ghararama ya sh. bilioni 4.2. Afungua jengo hilo (Jumanne, Januari 8, 2019) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AANZA ZIARA YA KIKAZI ZANZIBAR
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA ZURA MAISARA ZANZIBAR
Ni wajibu wenu kutumia utaalamu katika majukumu -Makamu wa Rais
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka wanaotoa huduma katika sekta ya afya kutoa Huduma bora. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati wa uzinduzi wa jengo la kituo cha Mama na Mtoto katika hospitali ya KMKM Kibweni ikiwa sehemu ya maadhimisho ya …
Soma zaidi »