MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAJAJI NA MAHAKIMU WANAWAKE TANZANIA

MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa TAWJA uliofanyika kwenye Hotel ya Verde, Mtoni Zanzibar.
Kama wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Imani Aboud (kulia) wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa TAWJA uliofanyika kwenye Hotel ya Verde, Mtoni Zanzibar.
MAM-3
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  na Jaji Mkuu wa Tanzania Prof.Ibrahim Juma wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa TAWJA uliofanyika kwenye Hotel ya Verde, Mtoni Zanzibar.
MAM-2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania Prof.Ibrahim Juma wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa TAWJA uliofanyika kwenye Hotel ya Verde, Mtoni Zanzibar.
MAKAMU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa TAWJA uliofanyika kwenye Hotel ya Verde, Mtoni Zanzibar.

Unaweza kuangalia pia

SERIKALI KUENDELEA KUCHUKUA HATUA KWA WAZALISHAJI NA WASAMBAZAJI WA MIFUKO ISIYOKIDHI VIWANGO – WAZIRI ZUNGU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.