Maktaba Kiungo: Rais Wa Zanzibar

DK. SHEIN AMEUFUNGUA UWANJA WA MICHEZO WA MAO TSE TUNG

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekemea tabia iliojengeka nchini ya wanamichezo ku[peleka kesi za michezo mahakamani, na kusema hatua hiyo imekuwa ikidumaza maendeleo ya michezo nchini . Dk. Shein aliyasema hayo leo katika hafla ya uzinduzi wa Uwanja wa Mao Tse Tung …

Soma zaidi »

BALOZI SEIF AZINDUA BARABARA CHAKE CHAKE PEMBA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewakumbusha Wananchi wanaoishi pembezoni mwa Miundombinu ya Barabara Nchini kuwa walinzi kwa kutoa Taarifa kwa vyombo husika dhidi ya wale wanaoharibu kwa makusudi miundombinu hiyo iliyojengwa kwa gharama kubwa. Alisema wapo baadhi ya Watu waliojitoa mshipa wa fahamu kwa …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 4,477

Ndugu Wananchi na Ndugu Watanzania Wenzangu; Jumapili, tarehe 9 Disemba 2018, nchi yetu (Tanzania Bara), itatimiza miaka 57 tangu kupata Uhuru wake kutoka Utawala wa Uingereza. Napenda, kwanza kabisa, kutumia fursa hii kuwashukuru na kuwapongeza wazee wetu wote, wakiongozwa na Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kwa kufanikisha …

Soma zaidi »

Dkt.SHEIN AWASILI JIJINI NAIROBI KUHUDHURIA MKUTANO WA BLUE ECONOMY

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein amewasili nchini Kenya kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa uchumi endelevu wa bahari(Sustaniable Blue Economy Conference) utakaoanza kesho katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta Jijini Nairobi Nchini Kenya.Katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo …

Soma zaidi »