Maktaba Kiungo: SADC

TANZANIA KUENDELEA KUNUFAIKA KIUCHUMI NA SADC

Katibu Mkuu Mstaafu Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Mussa Uledi amesema kuwa Tanzania inanufaika kiuchumi  kama mwanachama wa Jumuiya ya Maendeleo  Kusini mwa Afrika (SADC) pamoja na jumuiya nyingine ambazo Tanzania ni mwanachama. Akizungumza wakati akiwasilisha mada leo mjini Morogoro ikiwa ni siku ya pili ya mafunzo  kwa waandishi  wa …

Soma zaidi »

SADC KUTENGENEZA AJIRA ZAIDI YA 5000 KUINGIZA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 10

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi amewataka wamiliki na wafanyabiashara wa Hoteli Jijini Dar es salaam kutumia fursa ya kibiashara itakayotokana na ujio wa wageni takribani 1000 watakaoshiriki katika mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuanzia mwezi August 2019. …

Soma zaidi »