Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Afya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Dorothy Gwajima amewataka wadau wote wanaotoa huduma Tembezi za Afya kuunganisha nguvu kwa pamoja ili huduma hiyo iweze kufikishwa katika Halmashauri zote Nchini. Dkt.Gwajima ameyasema hayo wakati wa kikao cha wadau wa Afya kuwasilisha …
Soma zaidi »SERIKALI KUAJIRI WAKAGUZI WA NDANI 100
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Josephat Kandege (Mb) amesema TAMISEMI imewasilisha maombi ya kupata kibali cha ajira ya Wakaguzi wa Ndani 100 ili kutatua changamoto ya uhaba wa watumishi wa Kada hii katika Sekretariet za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa. Mhe. Kandege ameyasema hayo wakati akifungua …
Soma zaidi »JAFO AAGIZA UJENZI WA HOSPITAL YA UHURU UANZE MARA MOJA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo(Mb) ameagiza ujenzi wa Hospital ya Uhuru uanze Wiki ijayo Tar.24/06/2019 ili kutimizia ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa Dec, 2018 na kuelekeza fedha kwa ajili …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AMFUTA MACHOZI MFANYABIASHARA ALIYEZUILIWA BIDHAA ZAKE TANGU 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kumlipa fidia mfanyabiashara ambaye bidhaa zake zilishikiliwa na Mamlaka hiyo tangu mwaka 2015 kinyume na taratibu. Rais Magufuli ametoa agizo hilo leo Juni 7, 2019 wakati akiongea na wafanyabiashara kutoka wilaya …
Soma zaidi »WAZIRI JAFO AKABIDHI BIL 1.7 RUZUKU KWA VIJANA TOKA USAID
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo amekabidhi hundi za mfano zenye thamani ya Tsh 1,731,038,850 kwa Taasisi tisa za vijana wa Mikoa ya Mbeya, Iringa pamoja na Zanzibar kwenye hafla ya iliyofanyika kwenye viwanja vya Sido Jijini Mbeya. Akizungumza katika hafla …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA KUAPISHWA KWA RAIS WA COMORO
BILIONI 20 ZAKUSANYWA ADA YA VITAMBULISHO VYA WAJASIRIAMALI
Takriba Sh bilioni 20.3 zimefikishwa kwenye mfumo wa malipo wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) baada ya kugawa vitambulisho vya wajasiliamali vipatavyo 1,022,178. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo alipokuwa akizungumza na wakuu wa mikoa kabla ya kupitia …
Soma zaidi »TANZANIA TUNAO UWEZO MKUBWA WA KUZALISHA MIFUKO MBADALA – MAKAMBA
Tanzania inao uwezo mkubwa wa kuzalisha mifuko mbadala ambayo itatosheleza kufanikisha azma yake ya kupiga marufuku biashara na matumizi ya mifuko ya plastiki. Hayo yamebainishwa na Waziri wa nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, mhe. Januari Makamba wakati akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa …
Soma zaidi »