Maktaba Kiungo: WAZIRI WA HABARI, SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO

MAWAZIRI BARA, ZANZIBAR WASAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe pamoja na Waziri wa Habari, Utalii na Mambo Kale Zanzibar  Mhe. Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Ally Abeid Karume wamesaini makubaliano ya ushirikiano katika kusimamia na kutekeleza sekta za Habari, Utamaduni,Sanaa na michezo …

Soma zaidi »

LIVE:RAIS MAGUFULI KATIKA IBADA YA KUMSIMIKA ASKOFU MTEULE GERVAS NYAISONGA KUWA ASKOFU MKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Janeth Magufuli washiriki Ibada ya Kumsimika Askofu Mteule Gervace John Nyaisonga kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya .Ibada inafanyika katika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.

Soma zaidi »

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUTANGAZA UTALII KUPITIA AFCON U17

Serikali ya dhamiria kutumia jukwaa wa Mashindano ya AFCON U17 yatakayofanyika hivi karibuni kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini ili kunufaika na wageni mbalimbali watakao kuja kushiriki michuano hiyo ya Kimataifa. Kauli hiyo imetolewa jana na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Prof.Adolf Mkenda wakati wa kikao na Katibu …

Soma zaidi »

MCHEZAJI WA ZAMANI TIMU YA TAIFA PETER TINO AKABIDHIWA Tsh.MILLIONI 5 ALIZOPEWA NA RAIS MAGUFULI

Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Peter Tino amekabidhiwa shilingi Milioni 5 alizopewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kutambua mchango wake kwa Timu ya Taifa ya mwaka 1980 ambayo ilifuzu kuingia robo fainali ya Michuano ya …

Soma zaidi »