WAZIRI MWAKYEMBE AFUNGA MKUTANO WA MAKATIBU WAKUU WA NCHI WANANCHAMA WA SADC

MW 2-01
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe wa kushoto akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Uchukuzi), Dkt.Leonard Chamuriho, wakati wa kufunga kikao cha Makatibu Wakuu wa Nchi wananchama wa SADC, wa sekta ya TEHAMA, Habari,Uchukuzi na Hali ya Hewa katika Kituo cha Mikutano  cha Kimataifa Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam.
MW 1-01
Mkutano wa Mawaziri na Makatibu Wakuu, Sekta ya Tehama, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa kwa Nchi za SADC, katika Kituo Cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
MW 4-01
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza wakati wa kufunga kikao cha Makatibu Wakuu wa Nchi wananchama wa SADC wa sekta ya TEHAMA, Habari,Uchukuzi na Hali ya Hewa katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam.
MW 5-01
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Huduma za Ndege Tanzania (TCAA), Hamza Johari akifafanua jambo kwa Washiriki wa Mkutano wa Mawaziri na Makatibu Wakuu, Sekta ya Tehama, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa kwa Nchi za SADC, unaoendelea katika Kituo Cha Mikutano cha Kimataifa Julias Nyerere Jijini Dar es Salaam.
MW 6-01
Wakuu wa Taasisi Mbalimbali Kutoka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) wakiwa katika Mkutano wa Mawaziri na Makatibu Wakuu, Sekta ya Tehama, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa kwa Nchi za SADC, unaoendelea katika Kituo Cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
mw 7-01
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Ujenzi) Dkt.Elius Mwakalinga, akifuatilia Mkutano wa Mawaziri na Makatibu Wakuu, Sekta ya Tehama, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa kwa Nchi za SADC, unaoendelea katika Kituo Cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI MKUU AMPONGEZA BONDIA SALIM MTANGO ALIYESHINDA MKANDA WA DUNIA WA UBO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *