NAIBU Waziri wa Ujenzi Mhe. Elias John Kwandikwa ameagiza Wakala wa Majengo Nchini (TBA) kuhakikisha wanamaliza Mradi wa Nyumba za Kisasa wa Magomeni Kota jijini Dar es Salaam unamalizika kufikia mwezi Desemba mwaka huu. Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Kwandikwa ametoa msisitizo huo leo jijini Dar es Salaam alipofanya ziara …
Soma zaidi »JENGO LA WIZARA YA ARDHI LAKAMILIKA KATIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA
MAWAZIRI UGANDA NA TANZANIA KUJADILI BOMBA LA MAFUTA GHAFI
Kikao cha Nne cha Mawaziri mbalimbali kutoka Uganda na Tanzania wanaohusika na utekelezaji wa mradi wa bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Tanga Tanzania kinatarajiwa kufanyika leo jijini Kampala ambapo Mawaziri hao wanatarajiwa kupata taarifa za majadiliano yaliyokuwa yakifanyika kati ya Timu ya Kitaifa ya Majadiliano (GNT) ya …
Soma zaidi »UJENZI WA MRADI WA UMEME RUFUJI KUANZA RASMI MWENZI JUNI
Imeelezwa kuwa ujenzi wa mradi wa umeme wa Rufiji utakaozalisha megawati 2115 unatarajiwa kuanza rasmi tarehe 15 mwezi Juni mwaka huu. Hayo yalielezwa jana na Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani katika eneo utakapotekelezwa mradi huo wilayani Rufiji mkoani Pwani mara baada ya kukagua kazi za ujenzi wa miundombinu wezeshi …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AREJESHA UTARATIBU WA ZAMANI WA MALIPO YA WASTAAFU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2018 ameagiza kurejeshwa kwa utaratibu wa ulipaji wa mafao ya wafanyakazi wanaostaafu uliokuwa ukitumika kabla ya kuunganishwa kwa mifuko ya hifadhi ya jamii, na ametaka utaratibu huo utumike mpaka mwaka 2023 wakati wadau wakijadiliana …
Soma zaidi »LIVE: RAIS MAGUFULI ANAWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA MRADI WA UPANUZI WA BARABARA YA MOROGORO
Itajengwa kwa njia nane Ujenzi wa awamu ya kwanza utakuwa na km 19.2 kutoka eneo la Kimara hadi Kibaha. Fuatilia kwa kubofya link hii; au bofya link hii;
Soma zaidi »