#SisiTumeona SISI WATANZANIA TUNAWEZA Hivi sasa watoto wetu wanapata elimu bure bila malipo! ——————————— Matokeo ya Kidato cha Nne yametoka. Matokeo haya ni muhimu zaidi kwa Taifa letu sababu kadhaa. Kwanza; Haya ni matokeo ya kidato cha Nne cha kwanza kutoka baada ya Serikali kupitisha uamuzi wa wanafunzi wa elimu …
Soma zaidi »BARAZA LA MITIHANI (NECTA) LATANGAZA MATOKEO YA KITADO CHA NNE NA KIDATO CHA PILI MWAKA 2019
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne na kidato cha pili kwa mwaka 2019. 1.Matokeo Kidato cha NNE: BOFYA HAPA au BOFYA HAPA 2.Matokeo Kidato cha PILI :BOFYA HAPA au BOFYA HAPA 3. Matokeo ya Mtihani wa Maarifa (QT): BOFYA HAPA
Soma zaidi »DC CHONGOLO AKABIDHI MADARASA, OFISI ZA WALIMU KATIKA SHULE YA SEKONDARI TWIGA NA KIGOGO
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo amekabidhi madarasa sita na ofisi tatu za walimu katika Shule ya Sekondari Kigogo iliyopo kwenye Kata hiyo pamoja na Shule ya Sekondari Twiga iliyopo Kata ya Wazo ikiwa ni sehemu ya mkakati wake wakuhakikisha kuwa hakuna mwanafunzi anakosa nafasi ya kusoma kwa …
Soma zaidi »SERIKALI YAKAMILISHA MCHAKATO WA KUWASOMESHA WATAALAM 100 WA KILIMO ISRAEL
Serikali imekamilisha zoezi la kuwapeleka wataalam 100 wa kilimo nchini Israel kujifunza mbinu bora na teknolojia za kisasa za kuendeleza kilimo cha umwagiliaji nchini. Akiongea na wataalam hao wakati wa hafla ya kuwaaga jana jioni, Jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika …
Soma zaidi »BAKITA YATAMBUA VITUO VYA KUFUNDISHA KISWAHILI NA UTAMADUNI NDANI NA NJE YA NCHI
BODI YA MIKOPO, YATANGAZA SIFA NA UTARATIBU WA KUOMBA MIKOPO KWA 2019-2020
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza mwongozo wa utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2019/2020 unaotaja sifa, vigezo na utaratibu wa kuwasilisha maombi ya mikopo ya elimu ya juu na kuwasihi waombaji mikopo watarajiwa kuusoma kwa makini na kuuzingatia. Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Abdul-Razaq Badru …
Soma zaidi »MAONESHO YA ELIMU YA UFUNDI NA MAFUNZO YAFANYIKA KWA MARA YA KWANZA
Na Lilian Lundo – Dodoma. Baraza la Taifa la Elimu na Ufundi (NACTE) kwa kushirikiana na Vyuo na Taasisi za Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa mara ya kwanza limeandaa Maonesho ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ambayo yamefanyika Jijini Dodoma tarehe 27 hadi 30 Mei, katika uwanja wa Jamhuri. …
Soma zaidi »UPANUZI CHUO CHA UALIMU PATANDI KUPUNGUZA CHANGAMOTO YA WALIMU WA ELIMU MAALUM
Serikali imekamilisha upanuzi wa Chuo cha Ualimu Patandi ili kukiongezea uwezo wa kudahili walimu wenye taaluma ya elimu maalum wanaohitajika nchini ili kupunguza changamoto ya walimu hao. Hayo yameelezwa leo Bungeni, Jijini Dodoma na Mhandisi Stella Manyanya alipokuwa akijibu swali la Mhe. Grace Victor Tendega Mbunge wa Viti Maalum kwa …
Soma zaidi »MAKATIBU WAKUU WA HABARI NA ELIMU WAKUTANA KUJADILI SULUHU YA ENEO LA KIMILA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA.
Makatibu Wakuu wa Wizara ya Habari ,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bibi. Susan Mlawi na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu , Sayansi na Teknolojia Dkt. Leonard Akwilapo pamoja na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha Dkt. Masudi Senzia wamekutana na Viongozi wa Wazee wa Kimasai ili kupata suluhu la eneo la …
Soma zaidi »