Ni mkutano wa 16 wa Bunge la 11, kikao cha tatu unaendelea katika makao makuu ya nchi jijini Dodoma, ambapo Mawaziri wa wizara mbalimbali wanaulizwa maswali na kuyatolea majibu kuhusiana na masuala mbalimbali.
Soma zaidi »LIVE BUNGE: MUSWADA WA SHERIA YA MAREKEBISHO YA SHERIA MBALIMBALI WA MWAKA 2019
https://youtu.be/fCjmCmtlP18
Soma zaidi »BUNGE LAWAALIKA WADAU KUTOA MAONI JUU YA MAAZIMIO YALIYOWASILISHWA NA SERIKALI
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzana linawaalika Wadau kutoa maoni kuhusu Maazimio yaliyowasilishwa na Serikali kwa Mheshimiwa Spika kabla Maazimio hayajaridhiwa na Bunge katika Mkutano wa Kumi na Sita (16) unaoendelea Jijini Dodoma. Maazimio hayo yameelekezwa kwenye Kamati zifuatazo;- Mosi, Tarehe 05 Septemba, 2019 Kamati ya Kudumu ya Bunge …
Soma zaidi »LIVE : KINACHOENDELEA BUNGENI KIKAO CHA 11 MKUTANO WA 16
WAZIRI SIMBACHAWENE AIELEZEA YA KAMATI BUNGE MCHAKATO WA TATHMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA
Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) leo Agosti 27, 2019 imewasilisha taarifa zake mbili kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira jijini Dodoma. Taarifa zilizowasilishwa ni ya Utekelezaji wa Maazimio ya Bunge yanayohusiana na majukumu ya Wizara yaliyotokana na Mapendekezo ya Kamati hiyo katika …
Soma zaidi »LIVE: WAZIRI MKUU AKITOA HOJA YA KUAHIRISHA BUNGE LA BAJETI
MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA HAMSINI NA TANO 28 JUNE, 2019
Soma zaidi »SERIKALI YAOKOA MABILIONI UENDESHAJI MASHAURI YA MADAI
Serikali imesema mabadiliko kwenye sekta ya sheria nchini hususani Ofisi ya Mwanasheria Mkuu yameanza kuleta tija baada ya kuongeza ufanisi na kuokoa fedha ambazo hapo awali zilikuwa zikitumika kuwalipa mawakili binafsi. Akijibu swali la Mbunge wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kuebenea ambae alitaka kujua kiasi cha fedha ambacho serikali imeokoa tangu …
Soma zaidi »CATCH UP: WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO AKISOMA TAARIFA YA HALI YA UCHUMI BUNGENI
SERIKALI KUFANYA UTAFITI NA TATHMINI KUHUSU MAJI KUJAA KWENYE MASHAMBA
Serikali imearifu kuwa inafanya utafiti na tathmini ya kina ya maji kujaa kwenye mashamba ya wakulima katika maeneo mbalimbali nchini. Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba ameyasema hayo Bungeni Jijini Dodoma leo tarehe 10 Juni 2019 wakati akijibu swali la Mhe Yahaya Omary Massare wa Jimbo la Manyoni Magharibi …
Soma zaidi »CRDB BENKI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUWEZESHA MITAJI KWA WAJASIRIAMALI VIJANA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Majid Nsekela ameipongeza Serikali ya awamu ya Tano chini ya uongozi wa Mh Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli kwa kazi kubwa inayofanya katika kuleta maendeleo na kuwahudumia Watanzania na hivyo katika kuunga mkono juhudi za serikali Benki ya CRDB ipo tayari kushirikiana na …
Soma zaidi »