Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi amewasili jijini Yokohama, Japan tarehe 26 Agosti kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 7 wa Kimataifa wa Tokyo kuhusu Maendeleo ya Afrika (Tokyo International Conference on African Development-TICAD 7) utakaofanyika kuanzia tarehe 28 hadi 30 Agosti 2019. …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WANAOIWAKILISHA TANZANIA KATIKA NCHI MBALIMBALI
MATUKIO YA MKUTANO WA 39 WA WAKUU WA NCHI ZA SADC – DAR ES SALAAM, TANZANIA
RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS WA AFRIKA KUSINI RAMAPHOSA WASHIRIKI MKUTANO WA WAFANYABIASHA WA TANZANIA NA AFRIKA KUSINI JIJINI DAR ES SALAAM
PROF KABUDI: TUENDELEE KUSHIKAMANA KUJENGA JUMUIYA IMARA KWA MASLAHI YA WANANCHI WETU
Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, Prof. Palamagamba Kabudi amezitaka Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuendelea kushikamana katika Umoja na Mshikamano baina yao ili kujenga Uchumi imara na kuleta Maendeleo ya wananchi wake. Akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa nafasi …
Soma zaidi »PROFESA KABUDI AKAGUA PIKIPIKI ZA KUONGOZEA MISAFARA YA VIONGOIZI WAKUU WA NCHI ZA SADC MKUTANONI
BALOZI KIJAZI ARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA MKUTANO WA SADC
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amesema maandalizi ya Mkutano wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa nchi wananchama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC) unaotarajiwa kufanyika hapa nchini mwezi ujao yanaridhisha. Ameyasema hayo wakati akikagua hatua iliyofikiwa katika maandalizi hayo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI APOKEA DHAHABU YA TANZANIA ILIYOKAMTWA NCHINI KENYA MWAKA 2018
Rais Dkt. John Magufuli aipongeza Serikali ya Kenya kwa maamuzi yake ya kuirejeshea dhahabu zenye uzito wa kilo 35.34 zilizotoroshwa nchini Tanzania na Wafanyabiashara wasio waamini kwa njia ya magendo mwaka 2018. Akizungumza katika hafla ya kukabidhi dhahabu pamoja na fedha taslimu akiwa pamoja na ujumbe wa Mawaziri na Watendaji …
Soma zaidi »SADC YAELEZA SABABU ZA TANZANIA KUPEWA NAFASI YA KUANDAA MKUTANO WA JUMUIYA HIYO MWEZI AUGUST,2019
Tanzania imepewa fursa ya kuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika (SADC) kutokana na kutimiza vigezo vinavyohitajika na jumuiya hiyo ikiwemo uwepo wa demokrasia na utawala bora mbali na vigezo vingine kama vile mchango wa Tanzania katika ukombozi wa bara la Afrika pamoja na uwepo …
Soma zaidi »UINGEREZA YAAHIDI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA
Uingereza imeihakikishia Tanzania kuwa itaendelea kuwa mshirika wake katika masuala mbalimbali ya ubia wa maendeleo ikiwa ni pamoja na kuhamasisha wawekezaji wengi kutoka Uingereza kuwekeza Tanzania kama moja ya hatua za kuiunga mkono Serikali ya Awamu ya Tano ili iweze kufikia azma yake ya kuwa nchi ya uchumi wa kati …
Soma zaidi »