RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA MASUALA YA KIMATAIFA WA CANADA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw. Marc-Andre Fredette
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw. Marc-Andre Fredette Mkurugenzi Mkuu Masuala ya Kimataifa wa Canada alipotembelea na kuzungumza nae Ikulu Jijini Dar es salaam,Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt.Agustine Mahiga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Bw. Marc-Andre Fredette Mkurugenzi Mkuu Masuala ya Kimataifa wa Canada alipotembelea Ikulu Jijini Dar es salaam ambapo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt.Agustine Mahiga alihudhuria mazungumzo hayo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bw. Marc-Andre Fredette Mkurugenzi Mkuu Masuala ya Kimataifa wa Canada alipotembelea na kuzungumza nae Ikulu Jijini Dar es salaam.Mazungumzo ambayo pia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt.Agustine Mahiga alihudhuria.
Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS MAGUFULI AIPONGEZA MAHAKAMA NA WADAU KWA MAFANIKIO MAKUBWA

Rais  Dkt. John  Magufuli ameipongeza Mahakama na wadau wake kwa hatua kubwa za kimaendeleo zilizopigwa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.