Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Ethiopia hapa nchini Yonas Yosef Sanbe Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Misri hapa nchini Mohamed Gaber Mohamed Abulwafa Ikulu jijini Dar es Salaam.