Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuonesha mfano bora katika Bara la Afrika katika kusimamia uchumi na kutetea maslai ya nchi katika uwekezaji. Mhe. Rais Mstaafu Obasanjo ametoa pongezi hizo leo tarehe 20 Juni, 2017 …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2018
Rais Magufuli akutana na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corp, wakubali kulipa fedha wanazodaiwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ambayo ni mmiliki mkubwa wa kampuni ya Acacia Mining Limited Prof. John L. Thornton na kukubaliana kuwa kampuni hiyo ipo tayari kufanya mazungumzo na Serikali ya …
Soma zaidi »Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu EWURA
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Bw. Felix Ngamlagosi. Bw. Felix Ngamlagosi amesimamishwa kazi kuanzia leo tarehe 11 Juni, 2017. Gerson Msigwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU Dar …
Soma zaidi »Kamati ya Pili ya Mchanga wa Madini kuwasilisha ripoti yake kwa Rais Magufuli Jumatatu 12 Juni, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atapokea taarifa ya kamati ya pili ya wachumi na wanasheria iliyofanya uchunguzi madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga wa madini yaliyopo katika maeneo mbalimbali hapa nchini Jumatatu tarehe 12 Juni, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Tukio hili …
Soma zaidi »Balozi wa China Dkt. Lu Youqing ampongeza Rais Magufuli na Serikali yake kwa bajeti nzuri
Balozi wa China hapa nchini Mhe. Dkt. Lu Youqing amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Serikali yake, kwa bajeti nzuri iliyowasilishwa jana tarehe 08 Juni, 2017 Bungeni Mjini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango. Mhe. Dkt. Lu Youqing …
Soma zaidi »Rais Magufuli amuapisha Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bibi Anna Elisha Mghwira Ikulu Dsm
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 06 Juni, 2017 amemuapisha Bibi Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Bibi Anna Elisha Mghwira amejaza nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Saidi Meck Sadiki aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo. Hafla ya kuapishwa kwa …
Soma zaidi »Rais Magufuli aishukuru Kuwait kwa kutoa Bilioni 110 za barabara ya Nyahua – Chaya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameishukuru Serikali ya Kuwait kwa kutoa mkopo wa Dola za Marekani Milioni 51 sawa na takribani Shilingi Bilioni 110 kwa ajili ya kujenga barabara ya Chaya – Nyahua Mkoani Tabora yenye urefu wa kilometa 85 ambayo itaunganisha mawasiliano …
Soma zaidi »Rais Magufuli ateua Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Mabalozi wawili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Juni, 2017 amemteua Bibi Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Bibi Anna Elisha Mghwira anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Saidi Meck Sadiki aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo. Wakati huo huo, Mhe. …
Soma zaidi »Rais Magufuli ataka Jeshi la Polisi kukomesha uhalifu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutumia weledi wake kwa kiwango cha juu katika kutekeleza jukumu lake la kulinda raia na mali zao, hasa kukomesha vitendo vya uhalifu. Mhe. Rais Magufuli ametoa agizo hilo leo tarehe 02 Juni, 2017 …
Soma zaidi »Rais Magufuli awataka Watanzania kupuuza mjadala wa kuongeza kipindi cha Urais
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 13 Januari, 2018 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi Ndg. Humphrey Polepole, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Baada ya mazungumzo hayo …
Soma zaidi »