Maktaba Kiungo: OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA

SERIKALI KUENDELEA KUCHUKUA HATUA KWA WAZALISHAJI NA WASAMBAZAJI WA MIFUKO ISIYOKIDHI VIWANGO – WAZIRI ZUNGU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua mbalimbali kwa wazalishaji na wasambazaji wa mifuko isiyokidhi viwango ili kudhibiti uchafuzi utokanao na mifuko hiyo. Zungu alitoa kauli hiyo Itigi Wilayani Manyoni mkoani Singida leo baada ya kushuhudia zoezi …

Soma zaidi »

TANZANIA YATAKA AMANI KUPUNGUZA MZIGO WA WAKIMBIZI AFRIKA

Tanzania imetaka Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kimataifa kuongeza jitihada na nguvu katika kuleta amani katika maeneo yenye migogoro Barani afrika hususani katika Nchi za Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ili kuipunguzia Tanzania mzigo wa wakimbizi ulioubeba kwa muda mrefu hivi sasa. Makamu wa Rais wa …

Soma zaidi »

TUNAWEKA MIKAKATI YA KUPANDA MITI ZAIDI YA MILIONI 1 KATIKA MLIMA KILIMANJARO – WAZIRI ZUNGU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu amesema Serikali inatarajia kuweka mikakati ya kupanda miti zaidi ya milioni moja kwenye eneo la Mlima Kilimanjaro ili kulinda barafu iliyopo nchini. Pia amewataka wananchi kuacha tabia ya kukata miti na kuitumia kama fursa ya …

Soma zaidi »

LIVE: HAFLA YA UAPISHO WA VIONGOZI WATEULE – IKULU DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 03 Febuari, 2020 anawaapisha viongozi wateule wafuatao A. MAKATIBU WAKUU 1. Bi. MARY GASPER MAKONDO – kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Kabla ya uteuzi huo Bi. Mary Gasper Makondo alikuwa …

Soma zaidi »

NINAWASIHI MUWE NA SUBIRA WAKATI SERIKALI IKIIMARISHA MIFUMO YAKE YA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU – WAZIRI ZUNGU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu amemtaka kila mtumishi katika Ofisi hiyo kuwajibika ipasavyo mahali pa kazi na kuepuka kujihusisha na vitendo visivyokuwa vya kimaadili. Zungu ametoa kauli hiyo  jijini Dodoma wakati akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo …

Soma zaidi »