Hospitali ya Magonjwa ambukizi Kibong’oto inayotoa huduma ya Kifua Kikuu ‘TB’ na magonjwa mengine ya kuambukiza hasa UKIMWI imeendelea kutoa huduma bora kutokana na serikali kuwekeza katika ununuzi wa vifaa vya kisasa vya uchunguzi na tiba. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa hospitali hiyo Dkt.Riziki Kisonga wakati akizungumza na maofisa …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: January 16, 2019
RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WATATU
WAZIRI MKUU APOKEA LESENI YA USAJILI WA TANZANIA SAFARI CHANNEL
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepokea leseni ya usajili wa chaneli ya utalii ya Tanzania Safari ambayo itaiwezesha kuoneshwa kwa umma bila ya malipo yoyote (a must-carry channel) na wamiliki wa visimbusi. Waziri Mkuu amekabidhiwa leseni hiyo leo mchana (Jumatano, 16 Januari, 2019) kwenye kikao alichokiitisha ofisini kwake Mlimwa, jijini Dodoma …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA NIGERIA
Rais Dkt. John Magufuli leo tamekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Dkt. Olusegun Obasanjo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Baada ya mazungumzo hayo Mhe. Dkt. Obasanjo amempongeza Mhe. Rais Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya katika uongozi wake ikiwemo kupambana na rushwa, kuimarisha utoaji wa elimu, kuimarisha …
Soma zaidi »MFUMO MPYA WA TAARIFA ZA WATUMISHI WA UMMA KUANZA KUTUMIKA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dokta Mary Mwanjelwa amesema wizara ipo katika hatua ya mwisho ya kuwa na mfumo mpya wa kupata taarifa za watumishi wa umma kote nchini ikiwa ni pamoja na kituo cha kutoa huduma kwa pamoja. Naibu Waziri Mwanjelwa …
Soma zaidi »