Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mafinga mara baada ya kuwasili wakati akitokea Makambako mkoani Njombe. RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MAFINGA AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI IRINGA Matokeo ChanyA+ April 11, 2019 IKULU, MAWASILIANO IKULU, Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania MpyA+ Acha maoni 1,236 Imeonekana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mafinga mara baada ya kuwasili wakati akitokea Makambako mkoani Njombe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mafinga mara baada ya kuwasili wakati akitokea Makambako mkoani Njombe. Mapokezi ya Rais Dkt.John Magufuli katika mkoa wa Iringa. Baraka Mwakipesile (Anko Magu) Kijana anayeigiza sauti ya Rais Dkt. Magufuli akipiga makofi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia. Umati wa Wananchi wa Mafinga wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza nao. Umati wa Wananchi wa Mafinga wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza nao. Umati wa Wananchi wa Mafinga wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza nao. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza kijana Baraka Mwakipesile (Anko Magu) wa Mafinga ambaye anaigiza sauti ya Rais Dkt. Magufuli mara baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza kijana Baraka Mwakipesile (Anko Magu) wa Mafinga ambaye anaigiza sauti ya Rais Dkt. Magufuli mara baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza. Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest