WAZIRI WA NISHATI AKUTANA NA WAKANDARASI MIRADI YA UMEME VIJIJINI GEITA

  • Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amekutana na wakandarasi wa miradi ya umeme vijijini katika Mkoa wa Geita na kujadiliana kuhusu utekelezaji wa miradi hiyo kwa ufanisi zaidi.
  • Katika kikao hicho kilichofanyika, Aprili 20, 2019 katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Chato, makubaliano maalum yaliyofikiwa ni kwa wakandarasi husika kuhakikisha wanakamilisha Mradi wa Umeme Vijijini, Awamu ya Tatu, Mzunguko wa kwanza, mkoani humo ifikapo Septemba mwaka huu.
  • Akiwapa hamasa ya kufanya kazi kwa viwango na kasi, Waziri Kalemani amewaambia wakandarasi hao kuwa siyo dhambi kukamilisha kazi waliyopewa kabla ya muda ulioanishwa katika Mkataba wao.
  • Aidha, amewataka kujenga utaratibu wa kuwashirikisha viongozi wa maeneo wanakotekeleza miradi husika wakiwemo Wakuu wa Wilaya, wabunge na madiwani ili pamoja na mambo mengine waweze kuwaelimisha wananchi na kufuatilia ili kuhakikisha utekelezaji wake unafanyika kwa wakati na kwa viwango vinavyotakiwa.
  • Wataalamu kutoka wizarani, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA), pia wameshiriki kikao hicho.
  • Waziri wa Nishati yuko mkoani Geita kwa ziara ya kazi kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme.
Ad

Unaweza kuangalia pia

TPDC YAOKOA TRILIONI 12.7 KUAGIZA MAFUTA NJE YA NCHI

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) katika kipindi cha miaka minne ya Uongozi wa …

160 Maoni

  1. Cristiano Ronaldo https://al-nassr.cristiano-ronaldo.ae is one of the greatest names in football history, with his achievements inspiring millions of fans around the world.

  2. Казахский национальный технический университет https://satbayev.university им. К.Сатпаева

  3. The history of one of France’s https://france.paris-saint-germain-ar.com most famous football clubs, Paris Saint-Germain, began in 1970, when capitalist businessmen Henri Delaunay and Jean-Auguste Delbave founded the club in the Paris Saint-Germain-en-Laye area.

  4. Приветствую. Может кто знает, где почитать полезные статьи о недвижимости? Пока нашел https://glatt-nsk.ru

  5. Priyanka Chopra https://baywatch.priyankachopra-ar.com is an Indian actress, singer, film producer and model who has achieved global success.

  6. After some difficult years in the late 2010s, Manchester United https://england.manchester-united-ar.com returned to greatness in English football by 2024.

  7. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

  8. The Italian football championship https://italian-championship.serie-a-ar.com known as Serie A, has seen an impressive revival in recent years.

  9. Приветствую. Может кто знает, где почитать разные статьи о недвижимости? Пока нашел https://gor-bur.ru

  10. Всем привет! Подскажите, где почитать разные блоги о недвижимости? Пока нашел https://konditsioneri-shop.ru

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *